Nimemkumbuka sana huyu bwana. Huyu ndiye alikuwa Mbunge bhana! Nilifikiri Gambo atakuwa hivyo lakini Gambo wa watu wapi bhana! Yaani bariiiiiiiidiiiii amebaki na agenda yake ile ile ya wageni...
Ni kawaida kwa binadamu kutafuta faraja pale anapoumizwa.
Katika vyama vya siasa watu huumizana sana na kuvurugana, wengine hufikia kiasi cha kutishiana maisha. Ikifika hali hiyo wengine hukimbia...
Kama Rais Samia anafurahia kurudi nyumbani kwa wanachama waandamizi wa CCM, basi ajipange kweli kweli, wanakuja kuimba nyimbo zisizoimbika ugenini.
Wengi sidhani kama mumeelewa dongo alilolipiga...
Nieleze wazi kabisa mimi ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi . Kwanza niwape kongole wenzangu baada ya kumpata Mwenyekiti Mpya Mama yetu MH.Samia Suluhu Hassa.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni...
Pamoja na kuwa Ndugai kawahakikishia kuwa atawalinda lkn ukiwaangalia machoni hawana amani kabisa mioyoni mwao, kwa vile ni vigumu kwao kurudi Chadema wanatamani aidha waache ubunge wawe raia wa...
Watu Wengi wamechoka Sana baada ya kumaliza Chuo na kukosa ajira na Wengi hawana ujuzi wowote wanajuta kwanini wasingepitia hata veta toka siku nyingi.
Pia wako vijana waliomaliza form four...
Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru.
Sijajua ukweli wa jambo hili ila...
Ndugu zangu,
Hata wakati Mzee Mtei na Mzee Bomani wanamkabidhi Mbowe chama wengi hawakujua nini kitatokea hata hivyo umahiri wa Dr.Slaa ulifunika ombwe la uongozi ndanj ya CHADEMA.
Kwa sasa...
Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM ) umeundwa katika muundo ufuatao;
Unamwenyekiti wake wa taifa ambae ni Sadifa Juma Hamisi anaewakilisha jumuiya hii kwenye kamati kuu
Inamakam mwenyekiti ambae...
Katibu Mkuu wa (UVCCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kuwa Watanzania hawana shauku wala ndoto ya kufanya mabadiliko ya utawala kwa kuwategemea wanasiasa wenye mtazamo na mawazo duni.
Ameyasema hayo...
Katika hotuba yake kwenye mazishi ya JPM, Jakaya alisema:
"Mimi na wenzangu tuko na wewe. Tutume tutaitika. Usipotutuma tutaendelea na mambo yetu"- JK
My Take: wenzake kina nani? Mambo yao yepi?
Kiukweli chini ya uongozi wa katibu mkuu Dkt. Bashiru, CCM imepata mafanikio makubwa sana tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Sasa mali za chama zinajulikana bayana na miradi yote ya CCM inajulikana...
Ik8fika July mwaka huu,tutakuwa tunaingia mwaka wa sita tangu watumishi wa umma waongezewe kwa mara ya mwisho mishahara pamoja na nyongeza ya mishahara ya Kia mwaka mpya wa fedha (annual...
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri...
Bob Nyanga Makani ni mmoja wa waasisi wa CHADEMA, ni Msukuma, Mwislamu kutoka Kutoka Shinyanga na katibu mkuu wa Kwanza wa CHADEMA.
Katibu mkuu ndiye mwenye siri zote Chama, ndiyo anakaa na...
Baada ya ufahamu wa siasa za kitanzania kwa muda mrefu, sasa nadhani baada ya kupata uzoefu wa taaluma yako kivitendo kupitia nyadhifa zako tano za kisiasa ndani ya muda mfupi, yaani 1) Kilanja wa...
Nimtizamo wangu kwamba tunaliwa vichwa kimya kimya bila kupigiwa kelele. Nadhani tunapoelekea wale watu wote waliopanda kwa kasi miaka mitano iliyopita na wakashindwa kumaintaini nidham kwa...
JE, HOJA ZA MHE NYALANDU ZIMEJIBIWA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Leo Mhe Nyalandu aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amerudi CCM katika Mkutano mkuu maalum uliofanyika hapa Jakaya...
Heri ya siku kuu ya wafanyakazi! Hii ni siku iliyobeba matumaini makubwa kwa wafanyakazi wote Tanzania.
Baada ya kupandisha mishahara kwa mara ya mwisho July 2015 (by Kikwete) ni takribani miaka...
Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.