Shaka Hamdu Shaka anafaa katika nafasi yake mpya

Shaka Hamdu Shaka anafaa katika nafasi yake mpya

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,118
Reaction score
31,627
nimemfuatilia mwanasiasa huyu kijana nikaona anafaa sana kwenye nafasi yake mpya.
Alipambania chama kipindi akiwa UVCCM.
Alitulia kipindi alipopewa nafasi mpya.
anajua kujieleza na anajua kurespond kwa wakati na kwa weledi.
anafaa kuwa mwenezi wa Chama.

Hongera Shaka Hamdu Shaka!!
 
Back
Top Bottom