Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA, Said Wamba amesema Wafanyakazi hapa Nchini hawajaongezewa Mishahara kwa miaka 8 kwa upande wa Sekta isiyo rasmi na miaka 6 kwa Sekta ya Umma Amesema, "Hali hii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
PAMOJA NA KUTOKUTIMIZA ADHIMA YA WAFANYAKAZI, HOTUBA YA MHE RAIS IMEJAA HEKIMA KUBWA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo kilikuwa kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani. Nchini Tanzania sherehe...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wananchi! Kesho Mei Mosi, sikukuu ya wafanyakazi duniani na Tanzania pia. Wafanyakazi wanasubiri kauli ya Rais ili wapate kujua hatma yao. Ngoja niwaambie jambo. Kiki...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Mh. Rais awasihi wafanyakaz wazidi kuchapa kazi katika kipindi ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha kupambana na Covid19 ........ Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
113 Replies
18K Views
Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi...
32 Reactions
136 Replies
19K Views
Huyu katibu mkuu hawezi hata kusoma vizuri pia anaoenekana kalewa. Ametumia dakika 10 utambulisho na kusifu serikali. Bado anaendelea kuongea.... Kweli JPM aliua vyama vya wafanyakazi.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mikopo ya elimu ya juu hailipiki na huu ndio ukweli sababu ya ujinga wa Value Retention fee ya 6%. Mfano: Mnufaika asiye na ajira rasmi anatakiwa kulipa 100000 au 10% ya kipato anachokilipia kodi...
22 Reactions
129 Replies
9K Views
Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka...
5 Reactions
56 Replies
4K Views
Katika hili lazima tuwe wawazi. Katika taifa hili ili tuweze kupata maendeleo yanayoeleweka duniani. Lazima tujijengee uwezo wa kufanya kazi na biashara zinazo eleweka. Sio kujiajiri kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za Leo wapendwa, Heri ya siku ya wafanyakazi duniani. Wapendwa kwanza kabisa nikiri kwamba taifa letu bado ni changa na ili liweze kuendelea linahitaji kuajiri wataalam mbalimbali katika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Leo ubalozi wa Marekani umetoa taarifa kua viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa gesi ya Songas imekutana na Balozi wa Marekani na kufanya mazungumzo kuhusu nishati ya Tanzania. Historia ya...
7 Reactions
80 Replies
11K Views
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako mtiifu na naapa kukufuata na kukupigania kwa Hali yoyote, sutakubali nikiona ukitukanwa au kubagazwa. Leo Kuna Jambo naliona linataka kufanywa Kama ni ajenda ya...
8 Reactions
68 Replies
7K Views
Mimi si mwandishi mzuri na sina utaalam katika kuandika vema mbele ya waandishi mahiri na magalacha wa habari wanaoandika na maandiko yao na kusomeka na watu wengi yakabaki akili mwa watu kwa...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Hii kauli mbiu ni kama imebuniwa kumsuta mwendazake. Kwa kweli mimi siyo sukuma gang lakini kaulimbiu hii imekaa kitata zaidi na siyo kisayansi. Kazi Iendelee!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, ameitaka Serikali, iunde tume ya kuchunguza madai ya walimu, waliopandishwa madaraja bila mishahara, waliofutiwa barua za kupandishwa madaraja. "Serikali ya CCM, ni...
13 Reactions
60 Replies
7K Views
Ukiingia kwenye mtandao wa Twitter hukosi kusoma malalamiko kuhusu uvunjifu wa katiba ambao spika Ndugai ameonekana kuufanya kwa kuruhusu wabunge 19 wasio na chama kuendelea kuwa wabunge. Mimi...
1 Reactions
4 Replies
880 Views
Habar Wana harakat wa jamiforums naomba nitangulize kuomba Radhi kama nitawakwaza kwa ichi nacho taka kuandika Habar sasaiv Juu ya corona Dunian ipo ila sio kama Ile Ya India sasaiv kila Mmoja...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom