Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,597
- 46,244
Kuna kila sababu ya kuamini kwamba demokrasia ya utawala wa chama kimoja katikati ya vyama vingi vya upinzani inafanya vizuri na kwa ufanisi zaidi Africa kuliko ile demokrasia ya vyama vingi vya ushindani vyenge nguvu sawa au zisizotofautiana sana na hupokezana kushika dola au bunge.
Mifano iko tele ila hii ni baadhi tu
1.Kuanzia Botswana inayohesabika kinara wa demokrasia barani Africa imetawalia na chama kimoja cha BDP tangu 1966 ikibadilisha Marais Watano.Botswana inafanya vizuri katika kila sekta.
2. Africa Kusini iko na ANC madarakani tangu 1994 na hakuna dalili ya kuondoka madarakani. SAImebadilisha Marais watano.
3.Namibia kiko SWAPO tangu 1990. Wamebadilisha marais watatu
4.Angola iko na SWAPO tangu mwaka 1975.Imebadilisha marais watatu.
5.Msumbiji kwa wamakonde wenzetu wako na FRELIMO tangu mwaka 1975 wamembadilisha Marais wanne.
Zaidi sana demokrasia ya Africa ni lazima chama cha wengi bungeni na Rais wa nchi wawe kutoka chama kimoja ili nchi isiparanganyike.
Hii ndio demokrasia yetu, badala ya kuparauna, kudharauliana, kuumizana na kupotezana sana tutafute namna bora ya kuufanya mfumo huu ufanye kazi kwa maslahi mapana ya taifa na wananchi wote walio wanachama na wasio wanachama wa chama dola.