Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6...
A. UTANGULIZI
Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba...
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi na Mbunge wa kuteuliwa wa JMT Ndg. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu...
Wanabodi,kwa kweli Jana nimejisikia vibaya sana pale kwenye tukio la upigaji picha na mh Rais kwenye uzinduzi wa ujenzi wa reli ya umeme,tukio la kusikitisha ni pale walipoitwa viongozi wa vyama...
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi...
Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.
Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.
Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini...
Huyu ni DED wa wilaya ya Karatu. Anaitwa Waziri Morice.
Ananyanyasa sana watumishi wa Serikali katika wilaya yake na anavyowanyanyasa anatamba kuwa anaweza kuwafanya chochote na watumishi hao...
Tunakupongeza kwa kuteuliwa kwenda kulisimamia shirika kubwa la NSSF ambalo kabla ya hapo alikuwepo bwana Erio.
Baada ya pongezi zangu nikupe dondoo za kitu cha kufanya mara uingiapo na kuanza...
WanaJF
Katika kuweka kumbu kumbu sawa watu wote wenye video za majigambo na tambo, hata screen short za Twitter, Insta ili iwe funzo kwa watoto wetu kama sehemu ya history kwa vijana wenye tamaa...
Inaeleweka kwa mtu yoyote ambae ni mfuatiliaji wa mambo na kuifuta ni kuenzi hizi siasa za hovyo zilizoasisiwa na marehemu.
Wacheni watu wayajue mambo haya mapema kabla hayajatkmia ili wasiumizwe...
Katika miaka 10 ya awamu ya nne ya JK (2005 hadi 2015), kila mwaka ilikuwa ifikapo tarehe mosi Mei serikali ilikuwa ikitamgaza ongezeko la kiasi fulani kwenye mishahara ya watumishi wake wa...
Wahamiaji watokao Chadema kwenda CCM sasa wana slogan nyingine, hawasemi wanaunga juhudi bali " Wanarudi nyumbani kwa Mama"
Chadema wasipokaa sawa mama atasepa na kijiji kwa sababu kuna maelfu...
Ndugu Ashraf Sadru Kiobya
Ndugu wajumbe wa mkutano mkuu CCM Taifa.
Poleni kwa Safari na Majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa na chama
Naomba kuchukua nafasi hii kuwaombeni kwa unyenyekevu mkubwa...
Peopleeee'sss Powerrrrrrrr
Hii salamu huwa naikubali Sana. Twende kwenye hoja, Mama Samia ameonekana kucheza vyema siasa zake na hakika huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi, hakika huyu ni...
Waraka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwanza kabisa kwa vile ni mara yangu ya kwanza kuandiaka toka Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Ushike hatamu za Uongozi wa nchi...
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr...
Mbowe akimpa Lecture Mchumi Daraja la Kwanza Mwigulu Nchemba na Boss wake Saada Mkuya
Kwakweli kunahaja kubwa ya kumtunuku Mbowe cheo cha heshima cha kitaifa kutambua mchango wake, Leo ameweza...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mkoa wa Lindi, Suleiman Mathew amehamia CCM na kueleza kuwa amerudi nyumbani. Amesema kuwa amerudi CCM kuunga mkono juhudu za...
Nafahamu Rais wetu uko busy Dodoma na masuala ya kichama.
Hongera kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM.
Sitaki kuingia sana huko na sina maneno mengi kuhusu siasa.
Nakuomba ufunge mipaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.