Katibu Mkuu CCM, Chongolo urafiki wake na Mzee Kikwete

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Udugu hazina kubwa.

Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini.

Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.


IMG-20210430-WA0085.jpg


IMG-20210430-WA0083.jpg
 
Picha mbili tofauti Kikwete kamshika kijana wake mkono kwa pozi lile lile. Mkono wake uko juu na wa kijana upo chini, picha ya pili ndio amemaliza kabisa...na kiwiko amekishika.

Ushikaji huo wa mkono una maana kubwa mnoooo, Kikwete ni bosi wa uyo kijana, Kikwete ana madaraka makubwa juu ya uyo kijana.

Nitarudi hapa kuweka picha nyingine ya Kikwete na Katibu uyu mpya wa chama wakishikana mikono/kusalimiana.

For now let me save some other comments.
 
Back
Top Bottom