Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM.
Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba...
Huwezi amini lakini prominent figures zote zilizogombea Urais kupiti CHADEMA zilihamia kutoka vyama vingine hasa hasa CCM. Dr Slaa alikuwa CCM kabla ya kuhamia huko, Lowassa alikuwa CCM kabla ya...
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) Zanzibar imesema juhudi za Chama cha Wananchi (CUF), kupinga Muungano uliopo na kutaka mkataba au serikali tatu ni azima yao ya kukamilisha mpango wa kuyapoteza...
Akijibu hoja za Mh.Jesca Kishoa bungeni kuhusiana na uwekaji wazi wa mikataba alitolea mfano nchi ya Chad kama ni " failed state" (sijuii tafsiri yake kwa kiswahili) ndani ya Bunge . Sasa naomba...
Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana...
Leo Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Hamis Kigwangala ameonesha uzalendo na ujasiri mkubwa kwa kuamua kuonesha umma wa Tanzania na dunia jinsi Waziri wa zamani wa wizara hiyo Bwana Lazaro...
"SIASA HAINA ADUI WALA RAFIKI WA KUDUMU".
"SIASA HAINA MWENYEWE"
Mbunge wa Singida Kaskazini, Mh Lazaro Nyarandu amekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii kipindi cha awamu ya nne ya Mh...
Nakumbuka Waziri Kabudi wakati yuko Mambo ya Nje alikuwa akitoa ufafanuzi mrefu kila amalizapo kuongea na Balozi yeyote kutoka ughaibuni.
Lakini kwa Waziri Mulamula imekuwa tofauti yeye huwa na...
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.
Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.
Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana...
Ndugu zangu,
Ndg.Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM aneitangazia dunia kuhusu kuwapo kwa Mkutano Mkuu maalum wa CCM.
Ameenda mbali kwa kusema kuwa viongozi wa vyama...
Kumekuwa na malalamiko kuhusu mgodi wa Mererani kufanya ukaguzi kwa njia ya kudhalilisha ambapo hufanywa hivyo ili mtu asiondoke na madini ya Tanzanite
Katika Ukaguzi imesemekana kuwa watu...
Kuna wakati bunge liko live kuna wakati liko off hapohapo linapokua off wa Bunge wanajirekodi na kurusha kwenye mitandao ya kijamii maana yake wanapenda live,
Hoja inatolewa live wakati wa...
Nimetafakari kwa umakini sana kauli za Hayati Rais Magufuli kuhusu maisha yake, mara nyingi alisikika akisema kuwa
1. Niombeeni Watanzania.
2. Ni ni Rais wa wanyonge nimesacrifice maisha yangu...
Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwette tunayo matumaini makubwa kwenu kuwa ule muda ambao taifa hili limeusubiri mno hatimaye umewadia.
Ni wazi kuwa kila mtu katika nchi hii angalipendelea tuishi sote...
Wakuu nimekuwa nikimfuatilia Zitto kwa muda sasa,sasa hivi nimesikia anashiriki Uchaguzi Muhambwe wakati juzi alikuwa amesaini makubaliano na Chadema ya kupinga matokeo na kupigania Tume huru...
Matukio mbalimbali katika picha kutoka Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi unaendelea muda huu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete.
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma...
Habari Tanzania!
Sifa nzuri na safi ya kuwa Rais wa Tanzania inanogeshwa zaidi endapo unaifahamu ardhi yote ya taifa; haiba za raia; matakwa ya taifa; lengo la maendeleo; ustawi wa jamii na ubora...
Ni swali ambalo frankly speaking sina jawabu lake la moja kwa moja.
Wabobezi wetu wa masuala ya Constitutional Law watusaidie. Alternatively, kama kuna uzi wowote humu jamvini unaotoa mwongozo...
Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru.
Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.