Katibu Mkuu Bashiruu,Mkutano Mkuu wa CCM sijakuona!!

Katibu Mkuu Bashiruu,Mkutano Mkuu wa CCM sijakuona!!

Panomukailila

Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
5
Reaction score
0
Wanabodi,
Hii ni kawaida katibu mkuu kutosimamia kikao chake cha Mwisho? Kama Katibu Mkuu?
Ufafanuzi tafadhali.
 
Alikuwa katibu mkuu.Akapandishwa cheo akawa balozi tena akapanda akawa Katibu mkuu kiongozi hizo ni kofia tatu ujuwe.Na katika chama unaambia ukivaa kofia moja nyingine unaivua,isipokuwa mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom