Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,842
- 20,687
Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!"
Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania ikifitinika, nimeona mafarakano ya wazi kati ya Wanawake na Wanaume, mafarakano ambayo si ya afya kwa taifa letu. Nilitegemea kwamba ujio wa Rais mwanamke, Mama Samia Suluhu, ungeleta umoja, badala yake naona mbegu za minyukano zikipandwa. Ni kama wenzetu wanawake walikuwa wanasubiri nafasi hii, ili waendeleze minyukano zaidi, ambayo kiukweli tayari ilikuwepo.
Sijui kama it's mere coincidence kwamba katika wagombea sita wa kujaza nafasi za NEC, waliochaguliwa kujaza nafasi hiyo, wote ni wanawake! Mimi naamini sio coincidence, bali ndio minyukano kati ya Wanaume na Wanawake imeanza. Maneno aliyotamka Mama Kabaka Mwenyekiti wa UWT, wakati anatoa hotuba ya kumtunuku Rais zawadi,yanathibitisha hili.Alisema na hapa nanukuu,"Ujio wako umeondoa kabisa mfumo dume," mwisho wa kunukuu.Itoshe tu kusema kwamba maneno haya ni mazito kwa mtu anpayejua ajenda iliyopo ya kusambaratisha familia,na hayapaswi kabisa kupuuzwa.
Upo ushahidi wa kutosha, kwamba minyukano hii inahamasishwa na kupewa financial support and backing na nguvu zilizo-jificha za nchi za magharibi through NGOs, vyombo vya habari, mitandao, internet na hata wakati mwingine makampuni ya simu, ili kuvunja familia na ustawi wa jamii yetu kwa maslahi mapana ya nchi hizo au Mfumo Mpya wa Dunia au NWO(New World Order).Kama hatutakuwa makini kama taifa,baada ya miaka kumi ijayo, familia zetu na jamii vitakuwa vime-sambaratika kabisa.
Mimi sina shaka yeyote kwamba kuchaguliwa wanawake tupu kwenye kinyang'anyiro hicho kumewezekana kwa kuwa wajumbe wengi waliohudhuria ni Wanawake. Lakini je, kuchaguana kijinsia kuna tija kwa taifa letu? Ukweli ni kwamba hapana, kwa kuwa hii ita-compromize kwa kiwango kikubwa weledi na hii ni hatari kwa ustawi wa Taifa letu.
Lipo wazo la kugawana madaraka 50/50. Kwa nini kuwe na target ndilo jambo linalokera. Linakera kwa kuwa likely-hood ya ku-compromize weledi ili kua-chieve target is obvious. Hili nimeliona sehemu nyingi sana tayari. Infact hata leo kule Dodoma jambo hili limejionyesha wazi. Who knows, labda katika wale wagombea wanaume walio-achwa, some are more competent than the ladies elected.
Sina tatizo na wanawake kupewa responsible positions, naomba nieleweke, nina tatizo na ku-compromize professionalism at the expence of gender equality. Our main target should be professionalism, not gender equality.
Nafurahi kwamba wapo wanawake wanao-jitambua, ambao hawataki kupewa nafasi yeyote as a reward, wanapenda kupewa nafasi kwa kuwa wanastahili. Ningependa huu ndio uwe msimamo wa wanawake wote. Tuache professionalism iwe ndio kigezo pekee cha mtu kupata nafasi yeyote anywhere. Minyukano hii inayo-endelea sasa kwa sababu ya kuganga njaa, sio healthy sana, tutangulize mbele kwanza maslahi ya Taifa letu.
Ili uweze kupata.picha kamili ya kile kilichotokea Dodoma leo na kwa nini kimetokea,tafadhali fuata link ifuatayo.Hii ni vita kamili dhidi ya familia,and the sooner we realize that and do something about it the better.
Follow also the following link to see how the family is being attacked in Kenya.

Tuko vitani: Msingi imara wa familia ya asili unashambuliwa kwa nguvu zote kutoka kila upande
Tuko vitani, msingi na uimara wa familia ya asili unashambuliwa kutoka kila upande. Angalia uharibifu uliopo: watu wachache leo wanaoa. Na wale wanao-oa, ndoa zinavunjika, watoto wadogo kabisa wa hata mwaka mmoja wanapekwa shule za bweni. Majukumu kwenye familia yamebadilika, kazi za baba sasa...
www.google.com
Follow also the following link to see how the family is being attacked in Kenya.
The Standard - Kenya & World News | Latest and Breaking news
Uncover Kenya's boldest stories: Politics, business, sports, and more. Breaking news delivered live. Be informed, empowered.
www.google.com