Rais Samia hakika anajua kuwafuta machozi wanaCCM. Timu ufipa maslahi mpoo...

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Kuanzia siku Rais Samia alipopewa uenyekiti kwa kishindo ndio siku ambayo wanaCCM waliona hakuna kama mama , ameahidi vijana na wazee maslahi yaliyo bora zaidi hivyo naona jinsi timu ufipa maslahi walivyonuna...Hakika biashara ya kujiuza imekufa kifo cha kawaida
 
Shida ya mitandao bhana, huwa inasajiri tu hata watu kutoka Congo huko,

Huyu naye...!! Hizi ndo nyuzi nikiwa MD, ni unafumba macho tu unafanya Yako!
 
Back
Top Bottom