Wale walioshiriki kutesa na kuumiza watu 2015-2020 bado wanaamini walifanya sahihi?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Viongozi na watendaji walioshiriki kuumiza na kunyanyasa watu kwa sababu ya madaraka na kumlinda kiongozi bado wanaamini Mungu akuwaona?

Je bado wanakula mema ya nchi Kama walivyotegemea au nyakati zakusaga meno zimewadia? Ni sahihi kuishi kwakumtegemea mwanadamu?
 
Back
Top Bottom