Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Joseph Kakunda na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe, Omary Mgumba leo wameanza ziara ya siku tatu ya kiserikali katika Mkoa wa Morogoro 08, Januari 2019...
Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano.
Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua...
Kada ya elimu wataajiri watumishi wapya 10,297, afya 11,215, kilimo 1,383, mifugo 1,250, uvuvi 733, Jeshi la Polisi 1,782, Magereza 843, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji 512 na watumishi...
Mara baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua CHADEMA ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati...
Huwezi kuwa unaomba Mungu kwa dhati halafu Mungu azibe masikio yake kwako. Tatizo mnaombea wanasiasa na taifa kinafiki kwa maslahi yenu ya duniani.
Mh. Rais JPM aliwapenda sana lakini mlishindwa...
Kwa mfano Waziri wa Maji amewahi kwenda Chuo Cha maji Mwezi wa Kwanza akaagiza mkurugenzi wa ruwasa asaini mkataba haraka na Chuo waone namna ya kuwatumia wahitimu katika miradi mbalimbali ya maji...
Msimu huu ea mvua madereva wa malori ya TOL wamelalamika kuhusu kuisahau barabara ya kutoka Katumba kwenda Mwakaleli ambako huko.kuna visima vyao vya gesi. Wanasema mtwara kwenye gesi wameoeleka...
Tanzania kama Dunia inaondoka kwenye jela la kutegemea kazi za serikali. Kazi za serikali zunatakiwa ziwe za muhimu tu lakini kumekuwa na vijana wengi wanasubiri seeikali iwape kazi.
Nawajulisha...
Rais Mama Samia Suluhu Hassan nitakuwa wa mwisho Kukuamini kuwa tupo Awamu ya Sita kama unavyotulazimisha.
Ninachojua tu Generalist na naamini hata wale Waliobarikiwa vyema Akili ni kwamba tupo...
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Bi Godigodi amesema yeye ni mteule wa Rais hivyo madiwani hawana ubavu wa kumchukulia hatua zozote za kinidhamu ikiwemo kumsimamisha kazi.
Godigidi amesema hayo...
Mama Samia amesema hawezi kupandisha mishahara kutokana uchumi kuyumba kutokana na ugonjwa wa Corona.
Tangu mwaka jana serikali ambayo yeye alikuwa Makamu wa Rais ilituaminisha kuwa Tanzania...
Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amekiri bila kutangaza vivutio vilivyopo nchini Utalii hauwezi kuendelezwa. Ametoa kauli hiyo akimjibu Mbunge aliyehoji kuhusu mkakati wa...
Africa's Most Developed Countries on 2021
1. Mauritius (0.804)
2. Seychelles (0.796)
3. Algeria (0.748)
4. Tunisia (0.749)
5. Botswana (0.735)
6. Libya (0.724)
7. South Africa (0.709)
8...
Wote ni mashahidi kwa namna ambavyo watanzania wengi ni wagumu kufuata utaratibu pamoja na sharia halali zilizowekwa. Wengi wetu tunapenda sana kupata mali kirahisi na kwa njia ya udanganyifu ama...
Rais Samia amesema kuanzia sasa umri wa mtoto atakayeruhusiwa kuwa mtegemezi kwa wazazi ambao ni wafanyakazi umeongezwa kutoka miaka 18 hadi 21.
Hivyo mtoto wa miaka 21 atanufaika na marupurupu...
Ikitokea GENTAMYCINE nagombea Uchaguzi wowote ule halafu Matokeo yakitoka naambiwa nimeshinda kwa Kishindo ( 100% ) upesi sana nitayakataa na kutaka Uchaguzi urejewe upya.
Ila ikitokea...
Nimewaza sana jamii inapoamua inagumia maumivu inapoumizwa kwa kauli na maamuzi.
Nadhani ogopa hasa jamii haifanyi vurugu au matisho yoyote. Basi viongozi kutumia mwanya huo kupitisha hata sera...
Kwenye kitabu The prince cha Niccolo Machiaveli kuna sura nzima inazungumzia ubaya wa wanajeshi mamluki.
Anasema mamluki hawapigani kwa moyo hivyo ni rahisi kudhindwa ukiwa nao, anasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.