Pendekezo:Mh Rais Samia tangaza msamaha kwa wote wenye tuhuma za wizi na ufisadi taifa lizaliwe upya

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
3,383
2,000
Kiukweli tangu zamani za hayati Mkapa nchi yetu imejaa tuhuma na kutuhumiana wizi,ufisadi na ufujaji. Jambo la ajabu hakuna hatua za makusudi wamewahi kufanywa zaidi ya wachache tu kupewa disturbance kidogo.

Na hii sio kwa chama tawala tu, wapinzani pia kuna uozo mkubwa umekuwa ukiiibuliwa kuhusu utafunaji fyongo wa ruzuku, matumizu mabovu ya madaraka na uozo wa kila namna.

Kilichonisukuma kuandika hii ni juhudi za Kiongozi aliyepita kufungua mahakama ya mafisadi ambayo sijawahi kusikia imehukumu mtu yoyote. Sasa kwa ukali,uthubutu, na uchuma wa mkuu wetu kushindwa kuwakamata kuna maana mbili

1: Ni wajanja kiasi huwezi kupata ushahidi.
2: Hawaibi peke yao wanajikuta wamehusisha msululu wa watu kiasi kwamba kuwafunga ni sawa na kuifunga serikali na nchi.

Napendekeza tuanze upya. Tusameheane tu, aliyefanikiwa kuiba basi bahati yake ili tupunguze kutuhumiana na tuweke mifumo ambayo akitokea mpya basi unamzingua papo hapo. Wananchi tutakuelewa maana sasa hivi hayati Magufuli ametufungua akili sana.

Vinginevyo tutaendelea kuaibishana tu. Leo Lowassa CCM fisadi, Lowassa CHADEMA Sio fisadi. Nyalandu chadema KAMANDA, Nyalandu CCM mwizi wa vyura,twiga na Nyumbu.

Mimi ni hayimo tu.
Sitetei mtu, ila angalau tusonge mbele. Mbona mjerumani alituibia sana tukamsamehe yameisha hata sisi tuanze upya. Anga hewa la kitaifa tangu umeingia madarakani limekaa ki maridhiano na msamaha mode.
 
Fortyseven

Member
Oct 30, 2020
61
125

Nmeishia kusoma kichwa cha habari tuu aisee umeandika pumba moja ya hatari kiwango cha sgr😇😏
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
3,230

Hilo laweza kuwa no nia njema ya maridhiano,ila yafaa tufahamu upande unao utetea,kwani nafikiri kabla ya hao,ilifaa wafungwa wote wa kisiasa waachiwe huru,wale wa uchaguzi mkuu 2020 na ule wa mitaa 2019.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom