"Je! Unafikiri China inasubiri kuwekeza katika miundombinu yake ya dijiti au utafiti na maendeleo? Ninawaahidi, hawasubiri," Bwana Biden alisema katika hotuba yake Jumatano.
Bwana Biden alisema...
Tanzania yetu ya watanzania ina Watanzania wenzetu ambao ni viongozi wa ajabu Sana katika utendaji wao wa shughuli za kila siku.
Huwezi kuwajua misimamo yao imesimamia wapi Wala ukitazama vision...
Kwa namna ninavyosikiliza hotuba za Rais Samia halafu tungekuwa na Spika asifungamana na siasa za kishabiki kama Zungu wa Ilala hakika uchumi ungepaa.
Mambo ya kila siku kuisema Chadema na Mbowe...
*CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA). TAARIFA KWA UMMA- KUHUSU KAULI YA KUFEDHEHESHA ILIYOTOLEWA NA RAIS WA TFF*
Tumepokea kauli yenye ukakasi mkubwa iliyotolewa na Rais wa Chama cha Mpira...
Wote ni mashuhuda wa mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya Watanzania wenzetu waliojipa hadhi ya Ukimbizi hewa ughaibuni.
Kiuhalisia hawa siyo wakimbizi bali ni wahalifu walioamua kukimbia...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimepongeza hatua zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha Diplomasia ya uchumi na ushirikiano wa kimataifa.
Chama...
Watu tukisema kuwa Rais was Sasa hafai kuongoza nchi, wale wote waliopo madarakani au ambao wanashiriki kwa namna moja au nyingine kutafuna nae keki ya taifa huwa wanatushambulia Sana na pengine...
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli.
Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo...
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa...
Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho...
Wale watu wanaojifanya hawependi siasa wala hawaoni tija kushriki katika siasa leo wameona na wamejifunza kupitia kuharibika kwa mechi kati ya Simba na Yanga kwamba siasa ndio kila kitu na huwezi...
Binafsi nimeshaanza kuuona mwanga kupitia mboni za macho ya Rais Mama Samia. Ninamuona Rais Samia akizifuata nyao za Angel Makel wa Ujerumani.
Kama Rais mwanamke ni vizuri covid 19 ikipungua...
Baada ya Mwendazake television ya Taifa TBC sasa imeanza kubadilika, Katika kipindi cha Hadubuni Leo Mwandishi wa habari amewahoji manesi wastaafu wa muhimbili waishio Magomeni ambao walistaafu...
Serikali ya Tanzania imesitisha utekelezaji wa kanuni za kukagua nyimbo za wasanii kabla hazijapelekwa kwenye redio, televisheni na majukwaa mbalimbali.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumamosi Mei 8...
Serikali kwakuwa nyie ndio mmetajwa katika taarifa ya TFF kuwa mmeagiza mechi ya Simba na Yanga isogezwe mbele mpaka saa 1:00 usiku badala ya kuanza saa 11:00 jioni kama ilivyokuwa imepangwa...
Kufuatilia kauli ya Raisi Samia kuwa atateu watu wa kufanya nae kazi bila kujali itikadi zao; je utaunga mkono ikitokea Lissu anateuliwa kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali?
Mbali na kupiga...
Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda...
Habari wadau..!
Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo.
Kuna dalili ya kwamba
1. Machinga kuondolewa kando kando ya...
Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana...