TBC yazinduka, Yaanza kuonyesha wastaafu wasiolipwa pension tangu mwaka 2014

seedfarm

Senior Member
Feb 9, 2020
172
1,000
Baada ya Mwendazake television ya Taifa TBC sasa imeanza kubadilika, Katika kipindi cha Hadubuni Leo Mwandishi wa habari amewahoji manesi wastaafu wa muhimbili waishio Magomeni ambao walistaafu mwaka 2014 hawajalipwa mpaka leo

TBC wakati wa mwendazake kiligeuka chombo cha kusifu na kumwaga sera za kuwa mambo ni safi, madaraja na maisha ni mazuri

TBC ilitumia masaa 24 siku 7 kwa wiki kumsifia mwendazake kuwa Uchumi unakua

Leo kulikoni wanageuka? wanatafuta habari za watu Wasiolipwa pension

Je TBC walikuwa wanamuogopa mwendazake? au wamesoma upepo wa Mama wameamua kubadilika
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
5,935
2,000

Kuna unafiki nchi hii!!juzi sikuamini kumuona mkurugenzi wa Tbc Hoyoub rioba ana muhoji rais wa TLS, maswali yenye akili kweli, juu ya makosa ya uhujumu uchumi, watu kubambikiwa kesi!!ki ukweli tulikuwa gizani!!
 
tzkwanza

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
1,576
2,000
Shetani akizeeka anakuwa malaika.

Jiwe kabla ya kukata roho alimuita Paroko, Kadinali na Sheih mkuu. Umeona Combination/Chemistry hiyo?
Shetani kuu liligeuka malaika.
 
Mhigo

Member
May 6, 2021
98
250
TBC hawa? Usije waamini kabisa,wakamhoji mbowe kwanini aliwatimua kwenye mkutano.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom