Hata hao wanaomsifia Sasa, Kuna siku watasema hafai. Time will tell

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Watu tukisema kuwa Rais was Sasa hafai kuongoza nchi, wale wote waliopo madarakani au ambao wanashiriki kwa namna moja au nyingine kutafuna nae keki ya taifa huwa wanatushambulia Sana na pengine hata kuhatarisha maisha ya baadhi ya watu au kuondoa kabisa uhai ilimradi haumkubari Rais.

Ninachotaka kusema Ni kwamba wengi wa mnaojifanya kumkubari Ni kwa sababu tu ama amewapa nafasi za ulaji au mnatafuta nafasi za ulaji lakini Kuna siku wote tutaimba lugha moja.

Ningependa kumuona Bwana Gambo akiendelea kutoa sifa kwa mkuu Kama ilivyokuwa zamani. Pia natamani kumuona Nappe naye akifanya hivo. Kama wasipofanya hivo basi tuamini kuwa Kuna siku wote tukikutana mtaani tutakuwa na Lugha moja na hapo ndipo ukombozi utakuwa umekaribia.
 
Gambo pia ikatokea kaja chadema ataitwa HERO ANAYEJITAMBUA.
 
Hapo tayari atakuwa ameleekea upande wa siasa. Wewe unadhani kwa Nini wapinzani huitwa wahuni wakiwa upinzani lakini wakihamia CCM ndio wanateuliwa kuwa mawaziri, wakuu wa wilaya na makatibu tawala wakati CCM in wanachama almost milioni 20?
Muulize salary slip, mie sijui.
 
This is childish

Wewe ni CCM??

Gambo, Nape, wanaenda kugombea ubunge na watakuwa wabunge

Ukombozi ni dhana pana na unatakiwa kuifanyia kazi, ku refer Nape na Gambo kunaonyesha wewe ni weak na hauna lolote

Umesukumwa na Gubu ambalo una release stress kupitia hao watu
 
Marehemu Mzee Kingunge alikubali kufa na kamba yake shingoni. Sijui na Mh. Membe naye atazifuata nyayo za yule Mzee! au ataamua kuishi huku akiwa amepiga magoti!!

Ila kiukweli tumepatwa.
 
Gambo pia ikatokea kaja chadema ataitwa HERO ANAYEJITAMBUA.
Taja MTU mmoja aliyefukuzwa CCM kwa uzembe na ubabaishaji akaja Chadema na kupokelewa!
Mnaropoka ropoka kama mazuzu tuu. Lowassa, Sumaye na hata hao ndorobo waliokuja na kuondoka na kurudi huko kwenu ni nani alikuwa kafukuzwa?
 
Taja mmoja aliyefukuzwa chadema akafika upande wa pili..
 
Hapo tayari atakuwa ameleekea upande wa siasa. Wewe unadhani kwa Nini wapinzani huitwa wahuni wakiwa upinzani lakini wakihamia CCM ndio wanateuliwa kuwa mawaziri, wakuu wa wilaya na makatibu tawala wakati CCM in wanachama almost milioni 20?
Inafikirisha hii mkuu
 
This is childish

Wewe ni CCM??

Gambo, Nape, wanaenda kugombea ubunge na watakuwa wabunge

Ukombozi ni dhana pana na unatakiwa kuifanyia kazi, ku refer Nape na Gambo kunaonyesha wewe ni weak na hauna lolote

Umesukumwa na Gubu ambalo una release stress kupitia hao watu
ubunge wa Gambo wewe utakusaidia nini Poti? mbona una siasa za kitoto sana. Nape akiwa waziri alikusaidia nini? Gambo akiwa mkuu wa mkoa alikusaidia nini? tafuta pesa ya barakoa za wanao shule zinafunguliwa tarehe 29 na watasoma mfululizo bila likizo.
 
This is childish

Wewe ni CCM??

Gambo, Nape, wanaenda kugombea ubunge na watakuwa wabunge

Ukombozi ni dhana pana na unatakiwa kuifanyia kazi, ku refer Nape na Gambo kunaonyesha wewe ni weak na hauna lolote

Umesukumwa na Gubu ambalo una release stress kupitia hao watu

Hao wote Gambo na Nappe hautawaona kweny Bunge lijalo hata Kama wakienda kugombea lakini watakatwa mapema tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom