Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan;
Bila kuwa na Usawa wa kisiasa na Demokrasia ya kweli kwenye Taifa letu,Juhudi unazozifanya kwasasa za kurejesha Diplomasia na Confidence ya Wafanyabiashara na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema hali ya Ulinzi na Usalama Nchini ni nzuri na Serikali itaendelea kushirikiana na Umoja wa Mataifa katika kulinda Usalama.
Ameeleza hayo leo Mei 05...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amesharejea Jijini Dodoma
Alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma Mheshimiwa Rais alilakiwa na Makamo wa Rais Dkt Philip...
Nafahamu Rais Samia ni mpenzi sana wa mitandao ya kijamii, imani yangu anasoma kinachoandikwa na baadhi ya watanzania wenzetu nikiwemo na mimi mwenyewe tukiwa na mitazamo tofauti.
Kati yetu ,wapo...
Salaam wakuu,
Mbunge wa Nkenge, Misenyi, Mkoani Kagera adai Nchi ya Sudan kusini inapakana na Mkoa wa Kagera wakati akichangia bajeti ya mambo ya ndani leo.
Amedai Kagera imepatikana na nchi...
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana...
Kwanza ninaanza kwa kuwasalimia kwa salamu ya jina la Jumuiya ya Afrika Mashariki, poleni na hongereni kwa utekelezaji wa Majukumu yenu ya kila siku.
Nimeguswa kuwatumia ujumbe wa wazi kufuatia...
DRAMA linaanza hivi;
Ndugu wana bodi JF, ikumbukwe kuwa mara baada ya uchaguzi 2020, CHADEMA hawakuridhishwa na mwenendo wa mchakato mzima wa uchaguzi na walitoa msimamo wao wa kutokuyatambua...
Hii ni habari njema kwa wakulima wa mahindi kwamba mzigo wao uliozuiliwa mpakani utaingia nchini Kenya ndani ya wiki mbili zijazo na hapatakuwepo na usumbufu tena.
Rais Uhuru amemtaka waziri wake...
Nimeikumbuka kauli ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Ya mwaka 2005 siku anaapishwa kuwa Rais alisema"TUSILAUMIANE MBELE YA SAFARI"hii ilikuwa ni kauli ya...
Wimbo huu ulikuwa ukitumika sana kuwasafisha viongozi na kuwapa vichwa, nimeusikia leo baada ya muda mreeefu sana.
Hivi kuimbiwa na wale uliowaajiri wakati inatakiwa watanzania woote wakupende...
Source:Habari Leo, Nipashe na Mtanzania. Pia amesema Baada ya Rasmu ya Pili Kukabidhiwa Ikulu na Jaji Waryoba, Kazi ya Kujadiliwa na Bunge Maalumu Itakakamilika Mwezi wa tano na Kabla ya Mwezi wa...
Kwake Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete,
Watanzania wote kwa sasa masikio yote yameelekezwa Ikulu wakisubiri kujua timu mpya ya Mawaziri wapya ambao bila shaka itakuwa ni orodha ya kumaliza ngwe ya pili...
Wadau,
Kama mna kumbuka Viongozi wa CHADEMA, walimpa muda wa siku tatu Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kubatilisha kauli na kuomba radhi kufuatia kauli yake aliyotoa huko Dodoma siku...
Katika Sehemu ya hutuba ya Rais Kikwete akizungumza Dar anasema hati ya Muungano ipo,ni sahihi,Nyerere alipostaafu alimwachia Mwinyi, Mwinyi akampa Mkapa, mkapa akampa Kikwenye ambayo bado...
Kwa siku kadhaa sasa ninapokuwa twitter,nakutana na hashtag ya #KikweteMzaziFDL ikiwa sambamba na tweets zinazomshambulia raisi wetu Jakaya Kikwete na tuhuma za kuunga mkono kikundi cha FDLR...
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.
Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.