Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NDUGULILE ATAKA USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI KATIKA KUELEKEA UCHUMI WA KIDIJITALI Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka sekta binafsi kushirikiana na...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Miaka mitano ya Hayati Magufuli sekta binafsi imekufa. Wakandarasi wamekauka mifuko. Wenye maduka, super market, mama ntilie wapo hoi bin taabani. Sekta ya ujenzi iliuliwa na Forced account. Mama...
1 Reactions
0 Replies
546 Views
WAANDISHI KILIMANJARO WARUDISHWA DARASANI Ofisi ya Mstahiki Meya wa manispaa ya moshi Mhe Juma Raibu imeandaa semina ya kuwaongezea na kuwajengea uwezo waandishi wa habari wa mkoa wa Kilimanjaro...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Wafuasi wa Magufuli wamekuwa wakimfananisha na Nyerere,hapa nitaweka matendo kidogo ya Nyerere na Magufuli, kisha nyie mtaamua nani alikuwa Bora zaidi kiuongozi au ni kweli wanafanana...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukihamasishwa kulinda mali zinazoitwa za umma na kutahadhalishwa kuwa atakaechezea mali ya umma atawajibishwa. Imekuwa hivyo kwa miongo kadhaa na imezoeleka hivyo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa...
10 Reactions
124 Replies
12K Views
Wanabodi... Tunaelewa baada ya Mh Philip Mpango kupitiwa na lile tatizo la Upumuaji na hatimaye akavuka salama baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma wakati...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson Msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji Mkuu wa Serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Naupenda Urais... Nampenda Lissu... ' Naipenda Chadema... Hapa nimefika...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Hata kabila ya ujio wa Covid, hakuna tabia ambayo huwa naichukia kama mtu kupigya chafya mbele za watu bila kuziba pua na mdomo kwani mbali na kusambaza magonjwa, lakini pia inachangia sana...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam. Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM nchi...
0 Reactions
8 Replies
973 Views
Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe . ==== Inaonekana Spika Ndugai alisoma kitabu cha Animal Farm! Bunge chini ya uongozi wake...
29 Reactions
69 Replies
6K Views
Katika mchango wake kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mbunge wa jimbo la Nkenge (CCM) Frolent Kyombo amelalamikia mateso na adha wanayoipata wakazi wa wilaya za Kyerwa, Karagwe, Missenyi na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Miezi zaidi ya mitano sasa inaelekea huku kukiwa na mvutano baina ya CHADEMA na Wanachama wake 19, walio Bungeni kwa sasa. Chama hicho kila kinapojitokeza hadharani kinaeleza kuwa Wanachama hao...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. CHADEMA kupitia Katibu wake Mkuu kimesema hakitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki...
18 Reactions
77 Replies
5K Views
Nina maswali machache sana. Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mbunge Bernadeta Mushashu ameitaka Wizara ya Elimu pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kukubali kuna tatizo katika mfumo wa Elimu wa hapa Nchini. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma. Ameeleza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu wa mwisho (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu; Mawaziri wa afya...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom