Mchungaji Mastai: Kuchukua tahadhari dhidi ya Corona hakuhitaji kusubiri tamko la Rais

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
42,113
2,000
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli.

Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo mbele ni lazima uchukue tahadhari kwa sababu akili unazo.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama.
 

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,941
2,000
Mataga baada ya kutumia nguvu na wizi wa kura, kwasasa wanakuwa wapinzani na hapohapo wanakuwa UVCCM ( Mataga). Mwaka jana ukiweka uzi kama huu umekutukana kitambo.
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,260
2,000
Ma-DED, ma-DC na maafisa wengine wa serikali wamevua watu barakoa mbele ya media.

Matsai anajua hili?
 

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
10,523
2,000
Ma-DED, ma-DC na maafisa wengine wa serikali wamevua watu barakoa mbele ya media.

Matsai anajua hili?
Imani yako itakuponya, na kila mtu na imani yake

Kuchukua tahadhari ni pamoja na kula vizuri, kufanya kazi na mazoezi, na zaidi ya yote Tumuombe Mungu sana sana
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
28,091
2,000
Angalia hapo
Kama taarifa zipo ila hauna uwezo wa kuzitafuta na kupata majibu, hilo siyo kosa langu.
Screenshot_20210224-125739.jpg
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
102,256
2,000
Kwa kweli sasa waumini tunaonekana hatuna akili kabisa wakati sisi ndio watoa sadaka inayowafanya wasimame madhabahuni,
Hao watu wanatumia sana nguvu nyingi za giza kutupumbaza hivyo kushindwa kudadisi au kuhoji.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom