Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaliko uliletwa haraka haraka, kana kwamba kuna dharura! Sasa mama ameamua kuitikia mwaliko huo wiki ijayao. Haieleweki yaliyokuwemo ndani ya barua ile iliyowasilishwa kwake Dar es Salaam...
4 Reactions
205 Replies
14K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo Mei 04, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Nchemba. Viongozi hao...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Uongozi wa Serikali ya Awamu ya sita ya mwanamke shupavu Samia Suluhu Hassan umejikita katika kuifanya falsafa ya Mwl. Nyerere ihusuyo maendeleo kukamilika. Falsafa hiyo inazungumzia MAENDELEO /...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Historia ya Katiba Kwa mujibu wa wataalamu wa sheria kutoka chuo cha sheria cha(Law School of) Tanzania, katiba inahitaji kupitiwa mara kwa mara kuhakikisha kua inaakisi era za kidiplomasia pamoja...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa...
26 Reactions
74 Replies
8K Views
Niseme sijafuatilia in details mikataba aliyosaini Rais Samia huko Kenya. Inawezekana kuna hitilafu na inawezekana ni majungu yetu ya kila siku. Lakini kitu kimoja nilichowahi kukiona Kwa...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
RAIS John Magufuli amekamatika. Sababu za yeye kutopenda kukosolewa, na bidii yake kudhibiti wapinzani wake zimeanza kujulikana. Anaogopa wapinzani na vyombo vya habari wasiibue ufisadi wake au wa...
72 Reactions
240 Replies
34K Views
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesitisha Safari zake kwenda Mumbai nchini India kuanzia leo Mei 4 kutokana na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona. Abiria wote walioathiriwa na uamuzi...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Mbunge wa Monduli, Fredrick Lowassa amechangia Sh. milioni 11 katika miradi ya maendeleo katika vijiji vya ujenzi wa nyumba ya daktari wa wilaya hiyo ikiwa ni utekelezaji wa ahadi zake kwa wapiga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ninachojua GENTAMYCINE kwanini Mishahara imekuwa ikipigwa tu 'danadana' Kupandishwa kwa Watumishi nchini tokea 2016 hadi tarehe 17 March, 2021 ni...... 1. Kukurupuka kuanzisha Miradi 2. Kuwekeza...
29 Reactions
69 Replies
6K Views
TRAVEL ADVISORY NO. 7 OF 4TH MAY, 2021 The Government of the United Republic of Tanzania has continued to implement measures towards controlling COVID-19 Pandemic. Based on the global...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Benki ya Dunia imepitisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola millioni 500M sawa na Tsh Trillion 1.3 ambao ulisitishwa Januari 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kupinga mchakato wa...
27 Reactions
304 Replies
31K Views
Waziri wa Elimu Prof.Joyce Ndalichako leo Bungeni tarehe 4 Mei 2021. Ameiagiza Bodi ya mikopo elimu ya juu kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya mkopo inayotozwa na kwa wanafaika wa mikopo elimu ya juu...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Fatuma Karume amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaidai Serikali ya Jamhuri ya Muungano kiasi cha pesa cha trilioni 4.6 kutokana na kupokonywa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo Fatuma...
11 Reactions
258 Replies
22K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo amefika nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato mkoani Geita kuangalia kaburi lake na kumjulia hali...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna wasomi walitumia miaka mitano kuwatukana na kuwadhalilisha watu wenye upeo mpana na waliotuzidi maendeleo kwa kuwaita mabeberu. Wasomi hawa walifika wakati wanatuaminisha hata mtanzania...
4 Reactions
3 Replies
941 Views
Haya haya kumekucha Jimbo la Muhambwe Kigoma Kampeni rasmi kuzinduliwa za CCM kesho na Mlezi wa Mkoa Mh Kassim Majaliwa mambo ni moto. Mji wa kibondo umependeza kwa rangi ya kijani kila mtaa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kawaida sana kumuona diwani, mbunge au Waziri wa CCM akitamba kwamba sasa kazi itafanyika kwa sababu yeye ni kijana. Na unaweza kukuta hata Kigwangalla au Shinza akijinasibu kwamba yeye ni...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote. Ndugai amesema "inatakiwa...
24 Reactions
89 Replies
9K Views
Mwaka juzi kulikuwa na sintofahamu kuhusu nani achinje iliyosababisha kifo cha mchungaji moja kanda ya ziwa. Wakati sarakasi hiyo ikiwachanganya watanzania, katibu wa Bunge Thomas Kashillah...
29 Reactions
207 Replies
42K Views
Back
Top Bottom