Sikutarajia mambo haya kuendelea chini ya Serikali ya Mamq

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,188
6,351
Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana.

Michezo, ni moja ya vitu vinavyowaliwaza watu kusahau magumu tunayokabiliana nayo katika maisha ya kila siku. Ni liwazo kwa vijana wengi waliokosa ajira, na makundi ya jamii ya watu kama vile Wazee n.k

Kitendo cha Serikali kukurupuka kimeleta sintofahamu na kuzua taharuki. Wafikirieni watu waliofika asubuhi, wengine na familia zao, huku watu wengi wakiwa raia wenye kipato cha chini lakini kwa mapenzi ya soka na kupata liwazo wamekwazika, wamepoteza hela zao na wamepoteza muda wao

Lakini kikubwa unajenga chuki na jamii kubwa ya watu ambao wako katika kundi la wapenda soka.

Jambo hili linasikitiaha sana, Michezo ndio inawafanya hawa watu wasahau shida zao mbalimbali kwa muda mchache. Maisha ni magumu, ajira hakuna basi waachieni watu wafurahie na michezi na wajiliwaze

Labda wengije hamjui tu, GSM boss ni mpenzi wa Simba SC lakini yupo Yanga sio kwa sababu ya mapenzi au kibishara. Ni kutuliza wana Yanga kwa kuondoka kwa Manji, ili kusijengeke chuki baina ya fan base ya club ya Yanga dhidi ya Serikali.

Unrest ikianzia kwenye mipira inasambaa na kwengine, wakianza watu kuandamana kwa sababu ya mipira na kufanya fujo itahamia sehemu nyingine. Hili litazamwe vizuri
 
Sasa hapa mama anahusikaje?
 
Upuuuuuuuuzi mtupu.
Katika hili serikali hawana sababu yoyote ya kutuambia.

Wameniudhi sana.
 
Sasa hapa mama anahusikaje?
Tusizunguke linahusishwa na shughuli aliyohudhuria yeye muda unaoendana na mechi. Yale mambo ya zamani kulazimisha watu wafatilie tukio la kiseriali sikutarajia yaendelee
 
Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana.

Michezo, ni moja ya vitu vinavyowaliwaza watu kusahau magumu tunayokabiliana nayo katika maisha ya kila siku. Ni liwazo kwa vijana wengi waliokosa ajira, na makundi ya jamii ya watu kama vile Wazee n.k

Kitendo cha Serikali kukurupuka kimeleta sintofahamu na kuzua taharuki. Wafikirieni watu waliofika asubuhi, wengine na familia zao, huku watu wengi wakiwa raia wenye kipato cha chini lakini kwa mapenzi ya soka na kupata liwazo wamekwazika, wamepoteza hela zao na wamepoteza muda wao

Lakini kikubwa unajenga chuki na jamii kubwa ya watu ambao wako katika kundi la wapenda soka.

Jambo hili linasikitiaha sana, Michezo ndio inawafanya hawa watu wasahau shida zao mbalimbali kwa muda mchache. Maisha ni magumu, ajira hakuna basi waachieni watu wafurahie na michezi na wajiliwaze

Labda wengije hamjui tu, GSM boss ni mpenzi wa Simba SC lakini yupo Yanga sio kwa sababu ya mapenzi au kibishara. Ni kutuliza wana Yanga kwa kuondoka kwa Manji, ili kusijengeke chuki baina ya fan base ya club ya Yanga dhidi ya Serikali.

Unrest ikianzia kwenye mipira inasambaa na kwengine, wakianza watu kuandamana kwa sababu ya mipira na kufanya fujo itahamia sehemu nyingine. Hili litazamwe vizuri
Hayo ni manyunyu mvua bado inakuja, mlikuwa mnamshobokea sana oh mara mama ooh mama mzuri tulieni.
 
tumekubaliana kwamba sasa mchi imezaliwa upya.

haya manung'uniko hayazingatii msimamo wa ufipa kabisa.
 
Mzee mwenyewe Ni kama netwek ilishakata alaf analazimisha tufatilie kitabu chake
 
Hili jambo silielewi.

Serikali imeingiliaje sasa?
Soma hiyo barua.
tapatalk_1620474016226.jpeg
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom