Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu: https://www.bbc.com/news/world-asia-56919924 Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi...
11 Reactions
103 Replies
9K Views
Hayo yametamkwa na Watetezi hao wa Haki za binadamu wakati wakiwasilisha tamko lao hilo kufuatia ziara ya Rais wa Tanzania nchini mwao. Wamesema wanatambua kwamba hivi karibuni Mh Rais alitoa...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji. Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10 Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
2 Reactions
69 Replies
9K Views
"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike na hata nje ya mipaka ya nchi yetu, ulete matumaini mahala pasipo na matumaini, faraja palipo na huzuni, upendo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu, natanguliza salam. Inasemekana utaratibu huu ulianza enzi za Mwl Nyerere , kwamba mkuu akiwa na dukuduku lake, iwe katazo, kukemea, kurekebisha, kufafanua au kuweka muongozo basi ni lazima...
1 Reactions
112 Replies
12K Views
Mbunge wa Jimbo la Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu wana watoto wengi wa darasa la kwanza akidai wanatokana na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikiliza watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu ile kauli ya Uhuru. Wengi wanasema "afadhali Sasa nikafungue biashara yangu Kenya" Unajiuliza biashara gani hiyo wewe kapuku unaenda...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
UHURU KENYA SULUHU TANZANIA? Hii ni kauli ya Mh. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliokuwa Kenya kwenye ziara. Watanzania tumepewa ‘Uhuru’ wa kujivinjari Kenya bila visa wala kibali cha...
0 Reactions
2 Replies
735 Views
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa...
48 Reactions
198 Replies
15K Views
Sheria ya kuwakamata wanunuzi wasio na risiti waliobeba mzigo izingatiwe maafisa wa TRA wawe wanakaa mtaani kufanya operation za watu wanaonunua halafu hawapewi risiti isiangaike na maduka...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi hilo...
57 Reactions
888 Replies
149K Views
Nimesikiliza Hotuba ya mama huko Kenya naweza kusema. Mama sio mzuri wa hoja nzito, ni mwepesi wa Ku Give In. Anasema Wakenya waje Tanazania kuwekeza kwenye madini, Mkenya Gani anamtaji wa kuja...
31 Reactions
132 Replies
10K Views
Mbunge Jimbo la Singida Kaskazini, Ighondo Ramadhan Abeid, ameiomba Serikali kupanua wigo wa kutoa Mikopo ili kuwafikia walioko kwenye Vyuo vya Ufundi ikiwemo VETA. Amesema, sio kila Mwanafunzi...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa wakazi wa Arusha na Watanzania wenzangu mnaweza msiamini hiki ila ndo ukweli,makampuni makubwa hapa yamekuwa yakiwapa priority raia kutoka Kenya hii ni figure mojawapo,Arusha kuna shule nyingi...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Kati ya mambo yanayotia wazimu na yasiyofikirika, ni kuona waswahili wanang'ang'ana na kizungu hata pale ambapo kizungu hakihitajiki. Na hii si kusema kwamba Kiingereza ni lugha isiyofaa. Hapana...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania (sina uhakika kama ni mlipa kodi maarufu!), Rostam Aziz amelalamika kuwa uwiano wa uwekezaji kati ya Wananzania na Wakenya sio sawa. Alienda mbali na kutoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kule Kigoma kuna kampeni zinaendelea katika majimbo mawili likiwemo jimbo la Buhigwe. Ajabu ya siasa za nchi hii eti watumishi wanatoka kwenda kufanya kampeni huko Kigoma. Eti wametoka watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanabodI, Preamble: Kauli huumba, kauli hujenga na kauli hubomoa! . Vita vyote duniani huanzishwa kwa kauli, na mema yote duniani hufanywa kwa kauli ambapo amri kuu kuliko zote duniani ni "upendo"...
31 Reactions
218 Replies
27K Views
Akiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa, anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa, matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa...
19 Reactions
241 Replies
20K Views
Itakumbukwa katika awamu ya serkali ya tano kila kitu kilifanyika kwa minajili ya kubana matumizi ya Serikali. Awamu ya sita chini ya Samia Suluhu imekuwa ya kitofauti kabisa na awamu ya tano...
5 Reactions
159 Replies
16K Views
Back
Top Bottom