Polepole: Tunashughulikia matatizo ya Wananchi wanyonge walioonewa na tunawapa mawakili wa kuwatetea Mahakamani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,902
141,845
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake.

Polepole amesema chama chake kimeshaongea na Jaji mkuu ili kuhakikisha kesi mbalimbali zitakazoibuliwa kupitia kipindi cha Utekelezwaji wa Ilani zinashughulikiwa kwa haraka.

Kipindi kinaendelea...

Chanzo: Channel ten

My take; Sasa CCM inashughulika na maendeleo ya watu.
 
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake...
Wangeanza na wale waliobomolewa makazi yao Kimara kwa idhini ya Mwenyekiti wao wa chama....Tatizo la Mataga wanafikiri kwamba watanzania wa sasa akii zao ni kama zile za kwao MATAGA za kufanya mambo kwa kukurupuka.
 
Wangeanza na wale waliobomolewa makazi yao Kimara kwa idhini ya Mwenyekiti wao wa chama....Tatizo la Mataga wanafikiri kwamba watanzania wa sasa akii zao ni kama zile za kwao MATAGA za kufanya mambo kwa kukurupuka...
Bwashee umefuatilia kipindi lakini?!
 
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake.

Polepole amesema chama chake kimeshaongea na Jaji mkuu ili kuhakikisha kesi mbalimbali zitakazoibuliwa kupitia kipindi cha Utekelezwaji wa Ilani zinashughulikiwa kwa haraka.

Kipindi kinaendelea...

Chanzo: Channel ten

My take; Sasa CCM inashughulika na maendeleo ya watu.

Jengeni barabara za mitaa katika kiwango cha moramu!!!
 
Hii ni kampein kuelekea 2025
Naona Membe atapita bila kupingwa kabsa🤔🤔🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom