Ktk kitabu kitakatifu cha biblia, kuna stori moja inamhusu bwana mmoja aligombaniwa na wanawake saba ili awaoe.
Wale wanawake walisema " kuhusu msosi, tutajitegemea, mavazi na mahitaji mengine...
Hili ni swali baada ya uchumi wetu kuporomoka mpaka kufika asilimia 4.8%.Wakati huo takwimu zilifichwa na kutungiwa sheria kali sana. Television ya Taifa ( TBC) iliongoza mapambio ya kusifu kwa...
Mama Samia popote ulipo nakuomba uangalie tena Bandari Kuna Jambo halipo sawa huko.
Kuna C&F companies wameanza kulalamikia delays na hii ni kutokana na mfumo wa kisasa wa kufatilia mizigo na...
Huyu ole sabai na dc wa hovyo kuwahi kutokea...
Ili kufunika kombe lake la kuomba rushwa ya milioni tano eti kaenda kumleta "yule bibi maarufu wa arusha" aka chaliii wa ara" eti ndo mkazi wa Hai...
Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja.
Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati...
Godbless Lema anaweza akawa anatumika na Mungu ila tu Watanzania kwa sababu za kisiasa hawatalielewa hilo.
Kaka Lema endapo utasoma andiko hili, please imarisha mahusiano yako na Mungu kuliko...
Serikali ya awamu ya tano ilikuwa na mpango wa kubadili mfumo wa kuwalipa wastaafu.
Mpango huo ulipata umaarufu wa kufahamika "Kikokotoo".
Baada ya kutokea taharuki, serikali ilisema kuwa...
Simulizi ya Mwinyi vita ya ‘Magabachori’
Summary
Katika mfululizo wa simulizi za kitabu cha ‘Mzee Rukhsa; Safari ya Maisha yangu’ Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ameendelea...
TUMEKUJA KUMCHUKUA DKT. FLORENCE SAMIZI TUMPELEKE DODOMA "WABUNGE WA CCM WALIOPO KWENYE TIMU YA KAMPENI JIMBO LA MUHAMBWE
Mbunge wa Viti Maalum Asia Hamlaga akiongozana na wabunge wengine wa CCM...
Mwinyi: Niliepuka kubishana, kumkosoa Nyerere hadharani
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Nwinyi, amebainisha kuwa wakati wa uongozi wake, aliepuka kubishana hadharani na mtangulizi wake...
Paul Makonda toka ametumbuliwa hakuna mtu aliyewahi kujitokedha adharani kusikitika kuondoka kwake, hata Wana CCM wa ngazi zote hawakuwahi kusikitika naye si mitandaoni Wala adharani. Huyu mtu ana...
#MUHAMBWE
KIGOMA
Baadhi ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamewasili Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma kwa ajili ya kufanya kampeni kwa wagombea Chama Cha Mapinduzi katika majimbo...
Nadeclare interest kuwa mimi mpaka sasa sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila nafuatilia masuala ya siasa zinazoendelea hapa nchini kwa ukaribu.
Ni wazi kuwa CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo na...
Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye...
Katibu wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Kichama wa Selou (Majimbo ya Namtumbo, Tunduru Kusini na Kaskazini) Ndugu Abdallah Mtutura na viongozi wengine wapatao 10 wa Kata ya Ligoma (Tunduru Kusini)...
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amesema hakuna Askari aliyemzuia Mbowe kufanya kampeni na kwamba hata video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha yeye na Askari wakibishana ni kwa sababu...
Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani...
Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana.
Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, leo Alhamisi imewaachia huru, aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Mkurugenzi wa Logistiki, Byekwaso Tabura...
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi.
Waziri Ummy amesema tabia ya Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwakamata Wauguzi na Madaktari na kuwaweka...