Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Nadeclare interest kuwa mimi mpaka sasa sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila nafuatilia masuala ya siasa zinazoendelea hapa nchini kwa ukaribu.
Ni wazi kuwa CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa vilivyopo hapa nchini japokuwa ni opposition parties lakini ni kambi ndogo za CCM ili kuweka taswira ya kisiasa nzuri kuwa taifa letu linafuata mfumo wa vyama vingi.
Bahati mbaya zaidi hivi vyama vilivyopo vimepoteza mvuto kwa wananchi, maana karibu vyote havikubariki tena na vimeonekana ni vya wajaza matumbo wasio na vision yoyote nzuri ya kisiasa zaidi ya kudaka posho na kula.
Hawana wanasiasa wa kuweza kudadavua na kupambanua mambo kisha kuikosoa serikali kwa busara
Hivyo ni wakati wa CCM kuandaa vyama vingine vya kisiasa japo hata viwili lakini viwe na watu makini ambao watakosoa kuleta changamoto zinazoendana na siasa za leo. Sio watafuta kick kupitia matukio.
N.B CCM ni taasisi iliyojikita na kusimika mizizi na kujiimarisha.