Habari.
Leo mshituko mkubwa umewakumba watanzania baada ya wafuasi wa Chadema kupinga kauli ya waziri wa mambo ya nje ya nchi prof Kabudi kwamba nchi ya Tanzania haipo tayari kupigia magoti...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Vijijini Kusini Mashariki, Hamisi Shaban Taletale, au aka Babu Tale, ameandika hivi;
MWANGWI HURU:
Kuna wakati mtoto unaweza kutamani kusikia sauti ya kilio cha Baba...
Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG.
Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma...
Mama Samia anachapa kazi sana, hili lipo wazi na Mimi nikiwa mmoja wa vijana wake wanaomkubali kupindukia ninataka kuweka angalizo.
Maana Kuna vijana humu kutoka ule mtaa Wana matamanio yao Ila...
Mabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss.
Haiyumkiniki vigogo...
Mbunge wa Dodoma jiji Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde ni garasa hata sijui bungeni huwa anaenda kufanya nini,bubu si bubu,sijui mkimya sijui ni mpole yaani haeleweki.
Bila hii miradi ya...
Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate...
Ni rasmi sasa watumishi wa serikali wamepewa ruhusa ya kwenda safari za nje ambazo zilisitishwa na hayati Magufuli.
========
Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
Nampa hongera Mama yetu Samia kwa kutusikiliza watu wa mitandaoni.
Ametoa maelekezo kwa IGP afanyie kazi issue ya ujambazi Dar es Salaam. Kwa kweli hali ni mbaya haswa huku Mikocheni.
Mama...
Mahalu, Grace waachiwa huru, ndugu wamwaga machozi ya furaha
FRIDAY MAY 07 2021
Balozi Costa Mahalu akikumbatiana na mmoja wa ndugu zake mara baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumuachia...
Binafsi nikupongeze kwa kuteuliwa kuwa Waziri katika OR- TAMISEMI, wizara hii ni kubwa na ina changamoto nyingi.
Wizara hii utaiweza tu pale utakaposhirikiana vyema na wenzako na pia kuwa tayari...
Amani iwe nanyi wadau,
Kama nilivyosema kwenye kichwa cha mada yangu hapo juu, Ukizielewa vyema Siasa za Tanzania , huwezi kupata tabu, na kwa siku chache alizokaa madarakani, napenda kusema Mama...
Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa Muda mrefu
Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ameshiriki na viongozi wa...
Covid: India on UK travel red list as Covid crisis grows
Coronavirus pandemic
A medic tests a bus passenger in Jaipur, Rajasthan, India, on Thursday
India has joined the UK's travel red list -...
Spika wa bunge mh Job Ndugai hana tatizo na wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee na wenzake bali anachotaka ni utaratibu wa natural justice kufuatwa.
Kwa mujibu wa katiba ya...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani amewasili Jijini Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na amepokelewa na Waziri Mkuu Mhesh Kassimu Majaliwa pamoja na Viongozi...
Hayo maneno manee ya kwanza katika kichwa cha mada hii sio mageni kwetu, na wala sitopenda kuyaandikia kwa kirefu juu yake.
Haya manne niliyoongeza mimi, hata kama yanafanana na yale ya mwanzo...
Uchaguzi umekwisha kwa namna yake ya ajabu ambayo kila mmoja ameondoka na moja kichwani. Kwa aina ya Rais tulie naye ambaye ni king'ang'anizi na hana mjadala kwenye aliloamua, tunajua fika baada...
Nimekuwa naulizwa Sana kuhusu uteuzi wa Mwenyekiti wa Chama chetu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Nimekuwa kimya Kwa sababu tumepokea Taarifa za uteuzi kutoka katika vyombo vya Habari...
Nimeangalia maisha ya aliyekuwa rais wa Bukinabe Thomas Sankara na kugundua kuwa ukiwa kiongozi mwenye nia ya kujenga taifa linalojitegemea na kulinda rasilimali zake basi tambua maisha yako yapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.