Kikokotoo kitatumika kwa wastaafu mwaka 2023?

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
804
804
Serikali ya awamu ya tano ilikuwa na mpango wa kubadili mfumo wa kuwalipa wastaafu.
Mpango huo ulipata umaarufu wa kufahamika "Kikokotoo".

Baada ya kutokea taharuki, serikali ilisema kuwa inauahirisha hadi 2023.

Naomba kufahamu kutoka kwenu wajuzi wa mambo; wazo hili bado lipo au lilikwenda na awamu ya tano?
 
Back
Top Bottom