Kuna DC wa hovyo kama Ole sabai?

Kuna DC wa hovyo kama Ole sabai?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,202
Reaction score
24,714
Huyu ole sabai na dc wa hovyo kuwahi kutokea...

Ili kufunika kombe lake la kuomba rushwa ya milioni tano eti kaenda kumleta "yule bibi maarufu wa arusha" aka chaliii wa ara" eti ndo mkazi wa Hai anayelalamikia shamba haki nimecheka sana...

From arusha leo bibi wa watu kaletwa hai eti ndo mkazi wa Hai

Kwanini nisiseme huyu ndo dc wa hovyo kuwahi kutokea?

Utatumia mamilioni ya kodi kununua wazee wa kujidai ndo wazawa wa hai?

Yaani ni simple and clear "Yaani ni kujua kutofautisha tu lafudhi ya kiarusha na ya kichagga"

Kesi ya rushwa imekushika pabaya na nakwapia hutosalimika juu ya hili

Kingine ulichosahau ni kuwa huwajui wananchi wa Hai vizuri....


Unadhani utaweza kumng'oa mbowe kipenzi chetu?Yaani kwa mbowe hatuambiliki kabisa huyu ni zaidi ya rais kwetu...

Mimi nimetokea huko

Mambo mengine ni ya ajabu tu halaf mheshimiwa nimeona tweet hapo chini nitaiweka "hivi wewe ni wa kuvamia hotel usiku unamtaka nandy ulale naye?Yako wapi maadili ya udc?

Ndugu zangu huyo ndo ole sabai dc wa hovyo kuwahi kutokea duniani

Hili la huyu bibi nimejikuta nacheka tu...

Sijui mkuu anawatoaga wapi hawa wateule wa hovyo kama huyu
FB_IMG_15640807747397595.jpeg
 
Kwa nini kila siku huyu d.c.anatajwa sio bure atakuwa anamatatizo makubwa sana ,sasa wewe uliyemteua endelea tu kumlea maana watu wa hovyohovyo ndio unawapenda sijui kwa maslahi ya nani .
 
Huyu ole sabai na dc wa hovyo kuwahi kutokea...

Ili kufunika kombe lake la kuomba rushwa ya milioni tano eti kaenda kumleta "yule bibi maarufu wa arusha" aka chaliii wa ara" eti ndo mkazi wa Hai anayelalamikia shamba haki nimecheka sana...

From arusha leo bibi wa watu kaletwa hai eti ndo mkazi wa Hai

Kwanini nisiseme huyu ndo dc wa hovyo kuwahi kutokea?

Utatumia mamilioni ya kodi kununua wazee wa kujidai ndo wazawa wa hai?

Yaani ni simple and clear "Yaani ni kujua kutofautisha tu lafudhi ya kiarusha na ya kichagga"

Kesi ya rushwa imekushika pabaya na nakwapia hutosalimika juu ya hili

Kingine ulichosahau ni kuwa huwajui wananchi wa Hai vizuri....


Unadhani utaweza kumng'oa mbowe kipenzi chetu?Yaani kwa mbowe hatuambiliki kabisa huyu ni zaidi ya rais kwetu...

Mimi nimetokea huko

Mambo mengine ni ya ajabu tu halaf mheshimiwa nimeona tweet hapo chini nitaiweka "hivi wewe ni wa kuvamia hotel usiku unamtaka nandy ulale naye?Yako wapi maadili ya udc?

Ndugu zangu huyo ndo ole sabai dc wa hovyo kuwahi kutokea duniani

Hili la huyu bibi nimejikuta nacheka tu...

Sijui mkuu anawatoaga wapi hawa wateule wa hovyo kama huyuView attachment 1162803
Kwanini hawajam-CLERUU mpaka sasa?
 
Wale wa bibi wawili
Urefu wao
Mavazi yao
Kitambaa cha kichwani
Ushanga shingoni
Pete kidoleni
Angalia clips zoote huku ukizingatia vidokezo hivyo utuambie ni yupi alikuwa pale shambani akilia na huku makamasi yakimtoka
Angalia pale walivyokutana wakakumbatiana...yupi ni yupi
Hapa naona kama vile mambo yamekorogeka
 
Huyu ole sabai na dc wa hovyo kuwahi kutokea...

Ili kufunika kombe lake la kuomba rushwa ya milioni tano eti kaenda kumleta "yule bibi maarufu wa arusha" aka chaliii wa ara" eti ndo mkazi wa Hai anayelalamikia shamba haki nimecheka sana...

From arusha leo bibi wa watu kaletwa hai eti ndo mkazi wa Hai

Kwanini nisiseme huyu ndo dc wa hovyo kuwahi kutokea?

Utatumia mamilioni ya kodi kununua wazee wa kujidai ndo wazawa wa hai?

Yaani ni simple and clear "Yaani ni kujua kutofautisha tu lafudhi ya kiarusha na ya kichagga"

Kesi ya rushwa imekushika pabaya na nakwapia hutosalimika juu ya hili

Kingine ulichosahau ni kuwa huwajui wananchi wa Hai vizuri....


Unadhani utaweza kumng'oa mbowe kipenzi chetu?Yaani kwa mbowe hatuambiliki kabisa huyu ni zaidi ya rais kwetu...

Mimi nimetokea huko

Mambo mengine ni ya ajabu tu halaf mheshimiwa nimeona tweet hapo chini nitaiweka "hivi wewe ni wa kuvamia hotel usiku unamtaka nandy ulale naye?Yako wapi maadili ya udc?

Ndugu zangu huyo ndo ole sabai dc wa hovyo kuwahi kutokea duniani

Hili la huyu bibi nimejikuta nacheka tu...

Sijui mkuu anawatoaga wapi hawa wateule wa hovyo kama huyuView attachment 1162803
Naona wachagga mjipanga kumshambulia DC Sabaya lakini hamtamuweza nasikia hadi UVCCM Arusha wamo wanaomuogopa Sabaya kuwa atakuwa mgombea 2020!
 
Back
Top Bottom