GODBLESS LEMA IMARISHA MAHUSIANO YAKO NA MUNGU

IMasong

Member
Oct 26, 2019
10
22
Godbless Lema anaweza akawa anatumika na Mungu ila tu Watanzania kwa sababu za kisiasa hawatalielewa hilo.
Kaka Lema endapo utasoma andiko hili, please imarisha mahusiano yako na Mungu kuliko utumishi wa kisiasa ambao siku zote umejaa lawama, sina maana uache siasa ila kitendee haki zaidi karama ya Mungu. Asante na utekelezaji mwema
 
Back
Top Bottom