Wake 7 wamugombania bwana mmoja.

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Ktk kitabu kitakatifu cha biblia, kuna stori moja inamhusu bwana mmoja aligombaniwa na wanawake saba ili awaoe.

Wale wanawake walisema " kuhusu msosi, tutajitegemea, mavazi na mahitaji mengine ni juu yetu ila tunaomba tuitwe kwa jina lako.
Yaani Mrs. fulani.

Tafsiri yake: Katika imani ya kikristo kuna madhehebu mengi sana (Wanawake) kila dhehebu lina mambo yake, wengine wanakula hiki, wengine Hawali, wengine wanakemea hiki, wengine hawakemei.

Lakini madhehebu yote yanataka yatambuliwe kwa jina YESU (Mwanaume) ila wanataka kufanya mambo yao wenyewe (Mavazi)

Ndugu yangu, Sabaya, upo kwenye right track, usijali, pambana na Mungu atakusaidia.

Mwalimu wako alinyweshwa sumu miaka ya 2000s hakufa, kwa sababu aliandaliwa na Mungu kuwa rais wa nchi hii.

Hili kwako ni sawa na sumu ile, haitakuuwa bali inakuandaa kuwa mtu mkubwa mbeleni.
 
Jamaa liko huko mitandaoni kwny group linalia machozi huku likisema "hivi mimi kosa langu ni lile shamba la mbowe,nawapenda sana wana hai."

Linalia kama jinga vile.
 
Ktk kitabu kitakatifu cha biblia, kuna stori moja inamhusu bwana mmoja aligombaniwa na wanawake saba ili awaoe.

Wale wanawake walisema " kuhusu msosi, tutajitegemea, mavazi na mahitaji mengine ni juu yetu ila tunaomba tuitwe kwa jina lako.
Yaani Mrs. fulani.

Tafsiri yake: Katika imani ya kikristo kuna madhehebu mengi sana (Wanawake) kila dhehebu lina mambo yake, wengine wanakula hiki, wengine Hawali, wengine wanakemea hiki, wengine hawakemei.

Lakini madhehebu yote yanataka yatambuliwe kwa jina YESU (Mwanaume) ila wanataka kufanya mambo yao wenyewe (Mavazi)

Ndugu yangu, Sabaya, upo kwenye right track, usijali, pambana na Mungu atakusaidia.

Mwalimu wako alinyweshwa sumu miaka ya 2000s hakufa, kwa sababu aliandaliwa na Mungu kuwa rais wa nchi hii.

Hili kwako ni sawa na sumu ile, haitakuuwa bali inakuandaa kuwa mtu mkubwa mbeleni.
Poleni endeleeni kupeana Faraja za ubatili mtupu. kifuatacho ITV ni mahakamani. Ukumbuke hana Kinga😆😆aliowaibia Jinai haipotei
 
Ktk kitabu kitakatifu cha biblia, kuna stori moja inamhusu bwana mmoja aligombaniwa na wanawake saba ili awaoe.

Wale wanawake walisema " kuhusu msosi, tutajitegemea, mavazi na mahitaji mengine ni juu yetu ila tunaomba tuitwe kwa jina lako.
Yaani Mrs. fulani.

Tafsiri yake: Katika imani ya kikristo kuna madhehebu mengi sana (Wanawake) kila dhehebu lina mambo yake, wengine wanakula hiki, wengine Hawali, wengine wanakemea hiki, wengine hawakemei.

Lakini madhehebu yote yanataka yatambuliwe kwa jina YESU (Mwanaume) ila wanataka kufanya mambo yao wenyewe (Mavazi)

Ndugu yangu, Sabaya, upo kwenye right track, usijali, pambana na Mungu atakusaidia.

Mwalimu wako alinyweshwa sumu miaka ya 2000s hakufa, kwa sababu aliandaliwa na Mungu kuwa rais wa nchi hii.

Hili kwako ni sawa na sumu ile, haitakuuwa bali inakuandaa kuwa mtu mkubwa mbeleni.
Nani alithibitisha hiyo sumu? Watu wanaweza kusema lolote ili wahurumiwe na kupendwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom