Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene
======
Mwandishi: Mchakato wa kupona...
Kiukweli hotuba yako ilikuwa nzuri sana, ispokuwa katika zawadi mbili ulizotaja. Moja ilikuwa sio zawadi bali ni dhihaka kwetu sisi wanachama wa CCM. Nyalandu haikuwa zawadi, ndio maana wajumbe...
Picha yakugusa katiba ilianza CCM tukapiga makofi wenye akili wakauliza yakawakuta mwisho wakasema tutabatizwa Kwa Moto.
Mungu sii athumani Moto ukawababua mpaka na waliosema tutabatizwa Kwa...
Mahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi...
Ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya nne, ilitufanya wananchi tuamini kuwa ni jambo la lazima kwa mkuu wa nchi kuwa anasafiri mara kwa mara ndani na nje ya nchi.
Lakini kwenye miaka 5 ya...
Members, Mahojiano aliyoyafanya Mwandishi Jenerali Ulimwengu kupitia Jeneralionline pamoja na Tundu Lissu kuna mambo ya msingi Tundu Lissu amehoji.
Mosi: Je, mkataba wa kujenga uwanja wa ndege...
SIRI YA SAKATA LA VITI MAALUMU CHADEMA HII HAPA. MDEE 19 NA SPIKA WANAONEWA BURE.
Na Philipo Mwakibinga
0758910403
Tatizo siyo Mdee 19 bali ni nani anapelekwa baada ya akina mdee kuondolewa...
Kuna udhalimu nimeuona chini ya jua, maskini akiwa na gunia lake moja la mkaa, auze asaidie familia yake, ananyang'anywa na wafanyakazi/askari wa maliasili, sambamba na kuchukua simu na baiskeli...
Hii ina mantiki kubwa. Ukatili ulio mwingi walifanyiwa wafuasi wa Chadema, ni vema CHADEMA ikaratibu ukusanyaji wa ushahidi dhidi ya Sabaya ili haki itendeke. Waandae waathirika waweze kutoa...
Wanabodi, Kuomba msamaha sio ujinga bali ni kujitakasa mbele za Muumba.
Napenda kutumia nafasi hii kuomba msamaha kwa wote niliowakosea kwa kujibu hovyo au kutukana Katika thread zangu, Reply...
Tangua kupata uhuru wake mwaka 1961 nchi yetu imekuwa na mamia ya wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurgenzi wa Halmashauri.
Kati ya wote waliowahi kushika hizo nafasi na kupita katika ofis...
Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza, round ya kwanza!
Hali ninavyoiona kuna vilio vingi upande wa timu ya Mpumzishwa! Vijana wanashambulia sana kila kona ila team...
Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya.
Na kwa jinsi Watanzania...
She has been an iconic Israel's movie star who happened to be in the Israel Defense Force for two years before continuing to pursue her film carrier.
#PeaceAndLove
#AgainstHateAndBigotry...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga ameendelea leo na Kampeni zake baada ya siku tatu za mapumziko ambazo alizitumia kufanya media tour jijini Dar es...
Kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhingwe huko Mkoani Kigoma, wapiga Kampeni wa vyama vinavyoshiriki kwenye uchaguzi huo, ni LAZIMA kila siku waitaje CHADEMA.
Kuishambulia huko CHADEMA...
Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya amemwagiza mkurugenzi wa halmashauri hiyo,Yohana Sintoo kuhakikisha analipa deni la zaidi ya sh,milioni 600 linalotokana na madai ya...
Ya makonda tuliongea sana
Mkwepa kodi na makontena yake akaachwa
Kupiga watu akaachwa
Kunyanyasa watu akaachwa
Kuingia bungeni na bastola kaachwaa
Nitaendelea kumshangaa huyo anayeejiita...