Kongole nyingi Kwako Rais Samia kwa Kutujua haraka Watanzania na Kucheza vyema na Akili zetu za Kimihemko na Matukio

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya.

Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo Mganga tunaenda Kulisahau rasmi na sasa talk of the town ni Kufurahi kwa kilichotokea Ole Sabaya.

Na najua ukiona Watanzania bado hatujaridhika sana ( kivile ) ili kutuhamisha Fikra zetu ( kama kawaida yenu Wanasiasa na Marais ) sasa utamalizia kwa Kutufurahisha kuanzia pale Mkoani Iringa na Mkoani Mbeya.
 
Hahaha Krava Maga kwanini huwezagi kuacha asili yako? Nasoma mada huku nacheka nikimkumbuka jamaa yako Genta
Ditram Nchimbi wa Yanga SC ( Tanzania ) akijifananisha na mpaka akimuiga kila Kitu ( hasa Kiuchezaji ) Mshambuliaji Robert Lewandoski wa Bayern Munich ( Germany ) ni tatizo Kwako au kuna tatizo? Acha / Acheni Kukariri na kuwa na Kiherehere / Viherehere.

Cc: MALCOM LUMUMBA
 
Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya.

Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo Mganga tunaenda Kulisahau rasmi na sasa talk of the town ni Kufurahi kwa kilichotokea Ole Sabaya.

Na najua ukiona Watanzania bado hatujaridhika sana ( kivile ) ili kutuhamisha Fikra zetu ( kama kawaida yenu Wanasiasa na Marais ) sasa utamalizia kwa Kutufurahisha kuanzia pale Mkoani Iringa na Mkoani Mbeya.
go to hell mataga
 
Ningeshangaa zaidi usingejibu hivi, haha
 
watu wenye vichwa vyepesi wameshasahau uozo wa tff wa 8/05.

tena kama tarehe 15/05 simba kama atafungwa/atashinda ndyo kabisa.

nashangaa sijui kwanini mwendazake alitumia nyundo kuulia mbu.

watanzania wengi wana low memory span.
 
Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya.

Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo Mganga tunaenda Kulisahau rasmi na sasa talk of the town ni Kufurahi kwa kilichotokea Ole Sabaya.

Na najua ukiona Watanzania bado hatujaridhika sana ( kivile ) ili kutuhamisha Fikra zetu ( kama kawaida yenu Wanasiasa na Marais ) sasa utamalizia kwa Kutufurahisha kuanzia pale Mkoani Iringa na Mkoani Mbeya.

Unasema ngoma zinapopigwa mitandaoni yeye kule Ikulu anademka au?
 
Back
Top Bottom