Exposure kumbe Haina tija yoyote kwenye uongozi

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
2,903
4,306
Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani

Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa

Ifike mahali. Tutenganishe siasa na Mambo ya kiweledi mpira ni watu ikifika point mashabiki tunadharaulika aise itakuwa shidaa Sana mbeleni viwanja vitakuwa tupu
 
Mbona sipika anajiamulia mambo kinyume na katiba na sheria mnamwangalia tu?
 
Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani

Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa

Ifike mahali. Tutenganishe siasa na Mambo ya kiweledi mpira ni watu ikifika point mashabiki tunadharaulika aise itakuwa shidaa Sana mbeleni viwanja vitakuwa tupu
Kuna dada alienda kusoma korea 5 years akarudi mzee wake akamwambia anataka kumpa 100M afanye anachotaka nadhani yule mzee ndio siku alitambua binti yake ni bomu la nuclear baada ya kumwambia anataka kufungua saloon na boutique.Exposure bila kujiongeza ni kazi bure.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Heheeee hii ya mechi kusogezwa mbele naona watu mmeimaindi sana!

Japo kwangu si big deal kivile…

Ila naelewa…
Tumemaindi si kwa sababu imesogezwa mbele, bali kuna dharau fulani hivi wananchi tumeonyeshwa na serikali. Kwamba inaweza kupoteza muda wa watu bila kutoa sababu yoyote ya maana halafu isijali hata kuja kuclarify issue!
 
Naunga mkono mkuu.

Cha kuongeza as if MAMA alikuwa nje ya nchi,fikiria mtu anatoka kigoma kwa miguu,Zambia na mikoani wapo(KWA MKAPA) pale tokea asubuhi halafu wizara yake inafanya maamuzi ya kiboya wanakaa kimya.
 
Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani

Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa

Ifike mahali. Tutenganishe siasa na Mambo ya kiweledi mpira ni watu ikifika point mashabiki tunadharaulika aise itakuwa shidaa Sana mbeleni viwanja vitakuwa tupu
Shida ya ile Wizara ni huyu jamaa anaeitwa Abbas yule bila kutoka pale hakuna kitu kitafanyika, hata Msigwa kabanwa na jamaa ni tatizo kubwa hafai kabisa

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani

Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa

Ifike mahali. Tutenganishe siasa na Mambo ya kiweledi mpira ni watu ikifika point mashabiki tunadharaulika aise itakuwa shidaa Sana mbeleni viwanja vitakuwa tupu
Unaambiwa eti huyo ndiyo kijana smart wa ccm
 
Tumemaindi si kwa sababu imesogezwa mbele, bali kuna dharau fulani hivi wananchi tumeonyeshwa na serikali. Kwamba inaweza kupoteza muda wa watu bila kutoa sababu yoyote ya maana halafu isijali hata kuja kuclarify issue!
Uko sahihi jamaa wamekuja na sababu ya kijinga kabisa,bila kujali wananchi
 
Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza wizara inaongonzwa na mtu msomi Tena kasoma marekani sehemu tunayo amini kapata uweledi wa kuendesha Mambo kumbe hamna kitu kabisa
"Msomi wa Marekani"?

Huyo mtu kasoma nini huko na chuo kipi asiweze hata kujuwa umuhimu wa taratibu na mpangilio wake?
 
Back
Top Bottom