Mzee Mwinyi kanunuliwa Benz tunapiga kelele kila kona lakini yanayofumbiwa macho bado ni mengi zaidi

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,665
2,000
Habari wadau

Tanzania ni nchi tajiri sn na usije ukajidanganya kuwa setikal haina hela serikal hela inazo sema ziko chemba kwa matumiz ya watu fulani fulan na maelekezo kutoka juu.

Mwinyi kapewa zawad ya Benz TZ million 400 mnapiga kelele kila kona kisa pesa za kodi naomba niwaulize maswali yafuatayo:

Kila CAG akitoka huwa anatangaza kuna mahali pesa zimepigwa unakuta hata trillion kadhaa zilipigwa hizo km kodi zenu huwa mnafanya nini?

Uchaguzi magumashi uliofanyika ambao mimi hata sikuhudhuria ila ninyi mlienda msobemsobe ili nuitoe kuna pemben washapanga matokeo yao zile pesa ni za kodi zenu zilichezewa mlifanya nini?

Wabunhe wangapi wapo bungeni hoja zao ni za kimasihara tu eti analalamika kwa spika kaitwa njuka tena live kabisa alishindwa nn kumfuata spika personal badala yke kaja kuongea kwenye kikao na posho akapewa zileni kod zenu zinachezewa mlifanya nn ?

Mikataba mingapi mibovu serikali ina sain na makampuni ya nje kwa mapesa kibao bandar iliobid ijengwe kwa dola million 100 ikajengwa kwa dola millipn 900 mkapigwa mlifanya nini?

Ukwel mchungu ni huu Watanzania ni watu wa kuongea ongea ili mradi tu wameongea, sio wafuatiliaji sio wachambuzi. Na wale wachambuzi wamezibwa mdomo na wale wajuaji kina Assad wamezibwa mdomo. Angalau toka jiwe ameachia ngazi wametema nyongo kodogo na ni kweli 60% ya watumishi serikalin wameajiriwa kisa tu wana personality nzuri lakini kichwani hamna kitu.
 

Kamkuki

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
1,565
2,000
Kelele unazo wewe mleta uzi, wengine tuko normal mbona....

Acha chokochoko na mijadala isiyokuwa na Afya.
 

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
21,401
2,000
Bottomline: Bi Mkubwa anazidi kuharibu tu kama kawaida yake since ajiondokeeeeeeeeeeee kule Chato bila kusikiliza hata shukrani za wafiwa. Very sad!!!
Yaan hana hata utu wala ustaarabu huyu mama, sijui mwendazake alimuamini vipi yaan, khaaaah
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,967
2,000
Yaan hana hata utu wala ustaarabu huyu mama, sijui mwendazake alimuamini vipi yaan, khaaaah

JPM alikuwa na VERY GOOD instinct. Alisema waziwazi Dkt. Mwinyi ndiye chaguo lake. Sasa wakati uleeee ndipo anaingia kuomba kura 2015 hakuwa na choice ila kuwakubalia wazee wa mji. Kitendo cha kuwa na ofisi nyeti ya VP asiyepigiwa kura na wananchi ni blunder kubwa sana ya kikatiba. Because, essentially, yeye haoni wala hawezi kubeba kikamilifu haja na mahitaji ya wapiga-kura kama Mgombea Mkuu/Rais. Someone help make some noise out there!!!
 

Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,103
2,000
Bottomline: Bi Mkubwa anazidi kuharibu tu kama kawaida yake since ajiondokeeeeeeeeeeee kule Chato bila kusikiliza hata shukrani za wafiwa. Very sad!!!
1. Shukrani za Wafiwa zipi hizo ulitaka azisikilize?

2. Unataka asikilize kwa Mujibu wa Sheria au Ni Maagizo Unampangia?
 

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
3,857
2,000
Kwa maoni yangu zawadi sio jambo la msingi sana kujadiliwa, tunapoteza malengo na makusudio.

nadhani hata yeye mwenyewe Mzee wetu Babu yetu wa Taifa Mzee Ruksa atafarijika zaidi akiona tunajikita kujadili MAUDHUI ya kitabu chake alicho kiandika badala ya kujadili ZAWADI aliyo pewa.
 

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,840
2,000
Mtu anayekula mshahara *0% ya samia , mwanaye ni raisi, mkewe alikuwa tajir mkubwa Tanzani {mama siti}, ana kiiinua mgongo ya mabilioni, then ananunuliwa Benzi? hii nchi imefika pahal MUNGU AINGILIE KATI.
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,967
2,000
Kwa maoni yangu zawadi sio jambo la msingi sana kujadiliwa, tunapoteza malengo na makusudio.

nadhani hata yeye mwenyewe Mzee wetu Babu yetu wa Taifa Mzee Ruksa atafarijika zaidi akiona tunajikita kujadili MAUDHUI ya kitabu chake alicho kiandika badala ya kujadili ZAWADI aliyo pewa.


Suala siyo zawadi, bali maumivu ya mamilioni ya Watanzania. According to VP Dkt Mpango juzi Bungeni, ^Zaidi ya Watanzania milioni 14 wanaishi maisha CHINI YA KIWANGO CHA UMASKINI!!!^ Akaongezea kwamba ^Hili halikubaliki!!!^ Swali letu dogo ni: Kwa mikakati gani!??? Hii tunayoiona kwa Bi Mkubwa asiyependa hata kuzuru kukagua mradi hata mmoja wa JPM miongoni mwa ile mikubwa, kwa hofu ya kuwatonesha maswahiba wake!??? Shame and sad combined!!!
 

Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,103
2,000
My point, if umeielewa ni way more important than your two tiny questions. Umenipata!???
Kama tini questions usingeweka kwenye Comment yako, mimi nimeuliza kutokana na Maneno yako mwenyewe, Acha kujitoa fahamu..

Jibu hayo Unayoyaita tiny questions acha kurukaruka.
 

Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,103
2,000
Kwa mikakati gani!??? Hii tunayoiona kwa Bi Mkubwa asiyependa hata kuzuru kukagua mradi hata mmoja wa JPM miongoni mwa ile mikubwa, kwa hofu ya kuwatonesha maswahiba wake!??? Shame and sad combined!!!
Habari hizi (hapo kwenye Bold) umezitolea wapi? na kwa uhakika gani ulionao? Hao maswahiba ni kina nani?


Nadhani Bimkubwa kosa lake ni kukupa Uhuru wa kuropoka na Kumtusi hapa lasivyo Ungekua na heshima nae.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom