Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Hata alipokuwa hai hayati JPM kama bunge lingesema limkatae kwa kutumia ibara ya 46 ya katiba ya JMT na kumuondoa madarakani wananchi wangesimama na hayati JPM. Hili halina ubishi.
Kwa hiyo kama wanachi wangesimama na JPM basi ni wazi kuwa angeshinda. Na bunge lingeonekana kituko. Maana lingepigwa chini na uchaguzi kuitishwa upya.
Vivyo hivyo ndicho kinachoendelea sasa hivi. Kupinga kuwa kuna mradi kama SGR amabao una maufaa kwa taifa na JPM alithubutu kuutekeleaza ni kupingana na umma wa Watanzania. Kupinga mradi wa JNHPP.
Kupinga juhudi za ufisadi alizoonyesha, kupinga kuwa mradi wa bandari ya bagamoyo ulikuwa na mapungufu ni baadhi ya hoja ambazo zitawaponza wanasiasa wa CCM.
Na mshupaze shingo alafu mwaka 2025 mtaona nini maana ya nguvu ya umma.