Nyerere: Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha utaendelea tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,832
141,750
Ni vema wale wakuu wa wilaya na mikoa wenye tuhuma za kutesa, kuteka, kuumiza na kutupa watu korokoroni bila sababu za msingi wakawekwa pembeni zama hizi za awamu ya 6.

Na Kigwangalla akawaombe radhi wale wazee aliowapigisha push up baada ya kuwahoji "mzaha siyo mzaha?" kinyume kabisa na sheria ya utumishi.

Ni angalizo tu maana kuna viongozi walishajigeuza kuwa majambazi.

Niishie hapo
 
Ila hii pimbi ilijisahau sana aisee, we mtu na kitambi chake anahema vile unamuuliza mzaha au sio mzaha? Nenda chini!

Akajiona yeye booooooonge la kipenzi cha jiwe na mfanyakazi bora. Sasa hivi wale jamaa bado wapo kazini yeye anawaza kuteuliwa akiwa home
 
Sàbaya, Ali Hapi , Chalamila etc. Hawa ni wauaji, watekaji, wadhurumu haki za binadamu, wabakaji and all Filth you imagine. Lakini bado mama amewa retain......
 
Nchi ilikiwa inaelekea kubaya sana!! Na si kuwekwa pembeni tu bali washitakiwe kwa kutumia madaraka yao vibaya ili iwe fundisho.
 
Nchi ilikiwa inaelekea kubaya sana!! Na si kuwekwa pembeni tu bali washitakiwe kwa kutumia madaraka yao vibaya ili iwe fundisho.
Wanajulikana ila ushahidi wa moja kwa moja wa kisheria ni ngumu kidogo!
 
MaCCM mmetutesa sana,nikikumbuka najisikia kuua hata LiCCM mmoja na nimle maini yake kama ilivyotokea Syria.
sitawasemehe kwa kweli.
Mungu asikie kilio chetu tuliomizwa.
Ipatikane nafasi ya kulipiza tu.

Yaani yule MUHUTU na bichwa lake lilojaa ubaya ,mkaona mumpe nchi ili atuumize Watanzania.
 
Sasa kichwa cha Habari: "Nyerere: Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha ..." kinahusiana vipi na habari yako hii, kama sio 'dramatization' isiyokuwa na maana?
 
Ccm Ni hovyo, wote waliomo humo Ni hovyo kabisa. Hapa tulipofika leo hi, umasikini tulionao na Kila Aina ya kadhia Ni kwa sababu ya majizi ya hicho chama
 
nyerere alikuwa mchawi amewahi kula nyama ya mtu ndo mana amesema hvyo.
 
Ila hii pimbi ilijisahau sana aisee, we mtu na kitambi chake anahema vile unamuuliza mzaha au sio mzaha? Nenda chini!

Akajiona yeye booooooonge la kipenzi cha jiwe na mfanyakazi bora. Sasa hivi wale jamaa bado wapo kazini yeye anawaza kuteuliwa akiwa home
shida ni kwamba bado ana hela.
 
Ni vema wale wakuu wa wilaya na mikoa wenye tuhuma za kutesa, kuteka, kuumiza na kutupa watu korokoroni bila sababu za msingi wakawekwa pembeni zama hizi za awamu ya 6.

Na Kigwangalla akawaombe radhi wale wazee aliowapigisha push up baada ya kuwahoji "mzaha siyo mzaha?" kinyume kabisa na sheria ya utumishi.

Ni angalizo tu maana kuna viongozi walishajigeuza kuwa majambazi.

Niishie hapo!
Ngoja wale akina crimea, etwege, akina jingalao. Utashambuliwa hapa 🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 ila nishauliza humu mara nying kuhusu tafsiri halis ya mtu kuitwa shujaa wa Africa kuna vigezo gan hutumika mpaka mtu atunukiwe jina la shujaa? Lkn PGang hawajanijibu mpaka leo
Mazezeta ukoo wako, nyokololo wewe
 
Back
Top Bottom