BAWACHA kumvaa Ndugai kwa Kigodoro - Gear habib kurusha live

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,300
2,000
Aloo mi namshangaa sana huyu Spika Ndugai ,anajibizana na wanawake wa Chadema bandika tua,yaani ukimaliza kusikiliza ya Chadema wanawake sikiliza au subiria Spika Ndugai kujibu mapigo.
Bawacha sasa wanajibizana na shoga yao au rafiki yao si akina ndee tena.
Spika unaliaibisha Taifa achana majibizano,we spika vipi ,ngoja sasa niangalie vitendo vya spika anapo zungumza najua haweki ndevu wala sharubu.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,426
2,000
Hao BAWACHA wameshaanza kumpelekesha Ndugai siku hizi kila siku matamko akiwa bungeni, kazi anayo.
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,560
2,000
Ngudai bana ni Pimbi kweli
Screenshot_20210506-192508.png
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,127
2,000
Habari .

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote ,leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana?, au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali??

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,300
2,000
Chadema wanasema watamuwacha Ndugai wamshukie Parota ,kwa hli hawana simile.
***Angalizo kwa Afande Murota ,ndio kwanza tuna Raisi Mpya chondechonde usije ukamtilia kitumbua chake mchanga,au na wewe utakuwa wale wanaosabotage mapema Uraisi wa Samia Suluhu.
 
Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,300
2,000
Ndugai Tulia tulieni maana nyote hapo ni wababaishaji ile mbaya, wabunge wote hakuna aliechaguliwa na wananchi, na CDM wanakuja wanguwangu, hilo bunge lenu ni batili.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
54,823
2,000
Habari .

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.
Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forum hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?
Enzi za Dr Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote ,leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?
Je ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana?, au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali??

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
ni wewe ndiyo unatukana na wala haina madhara.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,061
2,000
Wanasema Ndugai amechokoza manyuki jike sasa ni neno kwa neno na kama haitoshi huwenda wakamvaa Ndugai hadi nyumbani kwakwe na ngoma ya kigodoro.

Ndugai omba msamaha au wacha kujibizana na kupashana na wanawake.

Imekuwa sasa ni kujibizana,Ndugai mambo ya wanawake huyawezi shauli lako !
Kwani Ndugai ni mwanaume?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom