Uchaguzi 2020 Ofisi ya CHADEMA kwenye video inayozunguka mitandaoni zinaonekana kuchoka na kupauka

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.

Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.

Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!

Kweli hata rangi imewashida kupaka?

Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?

Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?

Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.

Screenshot_20200928-214422.jpg
 
Kwahiyo tuchague ... kwakuwa wana ofisi nzuri? Tunamchagua Rais wa nchi na si ofisi nzuri zaidi za chama!
Mnaamshwa usingizini, muhoji 8 Bilions zimeenda wapi. Zilizotengwa kwa ajili ya kuimarisha miundo mbinu ya chama ikiwemo makao makuu ya chama! Sasa ninyi mnamwagiwa maji ya baridi kutoka usingizi bado hamtaki kuamka tuwaeleweje!?
 
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.

Babymama cariha , pls join me
 
Wakati huo huo huoni sababu ya kuhoji billion 8 za kivuko cha Bagamoyo, 2.7 trillions zilizokwapuliwa hazina, 2 trillions zilizonunulia ndege bila idhini ya Bunge, 200 billions zilizojenga chato airport bila idhini ya Bunge na billions za kununua wanasiasa malaya kutoka upinzani katika juhudi zake za kuua upinzani.

Mnaamshwa usingizini, muhoji 8 Bilions zimeenda wapi. Zilizotengwa kwa ajili ya kuimarisha miundo mbinu ya chama ikiwemo makao makuu ya chama! Sasa ninyi mnamwagiwa maji ya baridi kutoka usingizi bado hamtaki kuamka tuwaeleweje!?
 
Kuna furaha gani kuwa na ofisi nzuri wakati watoto wa shule wanakaa chini?, watu wanakunywa maji machafu?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom