The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Ni muda sasa kwa muonekano wake na haiba yake ya usoni ameonekana umri wake umesonga, historia yake ya utumishi wa umma tangu akiwa pale Mlimani campus kama mkufunzi pia ni muda umepita.
Wengine wanastaafu kwa mujibu wa sheria ya utumishi lakini ndugu yetu yupo tu. Basi kwa mwenye taarifa za umri sahihi atupatie ili tujue ukweli wa hili.
Wengine wanastaafu kwa mujibu wa sheria ya utumishi lakini ndugu yetu yupo tu. Basi kwa mwenye taarifa za umri sahihi atupatie ili tujue ukweli wa hili.