Dunia hii bado kuna ufalme wa kurithishana vyeo na habari za uzao bora (noble birth)

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Duniani kote hii ishu bado haijaisha. Ilifikiriwa juwa labda demokrasia itafanya watu wapewe vyeo vya kiasiasa kutokana na uwezo na si uzao wai lakini hili bado halijatokea.

Ukiangalia kwenye vyeo kuanzia ubunge, uwaziri, ukuu wa mikoa, wilaya nk utakuta kuna proportional kubwa sana ya uzao wa waliowahi kuwa viongozi.

Sasa sijajua, ni kwamba watoto wa viongozi ndiyo wanakuwa na muelekeo wa kufanya siasa na kujua jinsi ya kuifanya au kuzaliwa kwao(noble birth) ndiyo kunakowabeba?

Naona kama demokrasia ni ubabaishaji tu.
 
Ukishapata mzazi mwenye cheo kinachoheshimika mf. Rais ataukigombea urais una uhakika wa asilimia 75% kuupata

Wengina wanatabia ya kuzunguka mbuyu kutokana na vyeo vya wazazi.
 
Back
Top Bottom