Tuacheni utamaduni wa kuzubaa zubaa

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
4,604
2,000
Utamaduni wa kujivutavuta sio mzuri kwa taifa na wananchi wetu. Hasa kwenye idara za serikali
 1. Tume ya kutafuta chanjo nayo inejadili ......... badala ya kufanya maamuzi
 2. Wakezaji wanazubaishwa zubaishwa bila sababu
 3. Sheria zikitaka kubadilishwa ni mizunguko isiyo ya msingi
 4. Tulileta vitu bandarini mizunguko isiyo ya msingi

Yaani hata education ni ya kununua kamaliza O-level 1993 na eti unapata advance diploma 1994!! kwa mwaka mmoja bila kwenda A-level!. Hivi vyuo kwa kidini hata mtu wa Form 4 unaweza kupata PHD

BISHOP DR. GWAJIMA'S BIOGRAPHY​

Bishop Dr. Josephat Gwajima is the founder and Arch Bishop of Glory of Christ Tanzania Church (GCTC). He was born in small village of Mwanza, Tanzania in 1970. He holds a PhD from Omega Global University, South Africa where he was awarded Doctor of Philosophy in Theology (PhD) on 7 March, 2015. He graduated with a Masters in Christian Missions, June 21st 2006- February 22rd 2008 from Japan Bible Institute, Japan. He did his early education at Kabale Primary School in 1985.

Following an accident he got a serious spinal-cord injury at the age of 15 years. He became paralyzed and was confined to bed with no hope for about six years; even doctors had declared his non-recovery state. Bishop Dr. Gwajima was miraculously healed after Jesus Christ appeared to him in a dream, raised up from his deadly bed, gave his life to Jesus Christ and was called to save Jesus Christ from that day.

He then immediately after that miraculous recovery began secondary school in 1990 and graduated at Buswelu Secondary School in 1993. Bishop Dr. Gwajima graduated with honors from East African Pastoral theological school at Nairobi Kenya in 1994 with Advanced Diploma in Bible and Theology.

After his graduation he immediately began serving God, where he planted a church in Mwanza, Musoma and Mugumu in Tanzania and handled them to his assistant pastors. He planted another church in Dar es Salaam which is growing into the biggest congregation in the country. Bishop Dr. Gwajima is now overseer of more than 400 churches in Tanzania and abroad. He has authored more than 40 books!​
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,563
2,000
Hii ndio kitu inaturudisha nyuma miaka yote . .... uwoga na kutojiamini
Katiba yenu imekaa ki kono kono na urasimu kila mahali๐Ÿ˜… pa kubadili sio uchaguzi tu bali vipengele vyote vya kipumbavu vinavyoweza kumfanya kiongozi makini kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa wepesi!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
120,917
2,000
Rampant bureaucracy all over the place.
Utamaduni wa kujivutavuta sio mzuri kwa taifa na wananchi wetu. Hasa kwenye idara za serikali
 1. Tume ya kutafuta chanjo nayo inejadili ......... badala ya kufanya maamuzi
 2. Wakezaji wanazubaishwa zubaishwa bila sababu
 3. Sheria zikitaka kubadilishwa ni mizunguko isiyo ya msingi
 4. Tulileta vitu bandarini mizunguko isiyo ya msingi
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
12,547
2,000
Nchi kuzubaishwa na CV ya gwajiboi vina mahusiano gani?
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,167
2,000
Nireteeni Gwajima, nireteeni Gwajimaaa, nireteeni Gwajimaaaaaaa! Kufumba na kufumbua mfufuaji mkuu Bishop, Dr. Josephat Gwajima akawa mbunge wa jimbo la Kawe, Dar es Salaam.Siku Mdhamini Mkuu aliposalimu amri kwa corona na kusepa, mfufuaji mkuu aliingia mitini na hivyo miaka mitano zaidi aliyoomba ikawa ndoto! Hii nchi kwa hakika ina vituko!
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
39,264
2,000
Utamaduni wa kujivutavuta sio mzuri kwa taifa na wananchi wetu. Hasa kwenye idara za serikali
 1. Tume ya kutafuta chanjo nayo inejadili ......... badala ya kufanya maamuzi
 2. Wakezaji wanazubaishwa zubaishwa bila sababu
 3. Sheria zikitaka kubadilishwa ni mizunguko isiyo ya msingi
 4. Tulileta vitu bandarini mizunguko isiyo ya msingi

Yaani hata education ni ya kununua kamaliza O-level 1993 na eti unapata advance diploma 1994!! kwa mwaka mmoja bila kwenda A-level!. Hivi vyuo kwa kidini hata mtu wa Form 4 unaweza kupata PHD

BISHOP DR. GWAJIMA'S BIOGRAPHY​

Bishop Dr. Josephat Gwajima is the founder and Arch Bishop of Glory of Christ Tanzania Church (GCTC). He was born in small village of Mwanza, Tanzania in 1970. He holds a PhD from Omega Global University, South Africa where he was awarded Doctor of Philosophy in Theology (PhD) on 7 March, 2015. He graduated with a Masters in Christian Missions, June 21st 2006- February 22rd 2008 from Japan Bible Institute, Japan. He did his early education at Kabale Primary School in 1985.

Following an accident he got a serious spinal-cord injury at the age of 15 years. He became paralyzed and was confined to bed with no hope for about six years; even doctors had declared his non-recovery state. Bishop Dr. Gwajima was miraculously healed after Jesus Christ appeared to him in a dream, raised up from his deadly bed, gave his life to Jesus Christ and was called to save Jesus Christ from that day.

He then immediately after that miraculous recovery began secondary school in 1990 and graduated at Buswelu Secondary School in 1993. Bishop Dr. Gwajima graduated with honors from East African Pastoral theological school at Nairobi Kenya in 1994 with Advanced Diploma in Bible and Theology.

After his graduation he immediately began serving God, where he planted a church in Mwanza, Musoma and Mugumu in Tanzania and handled them to his assistant pastors. He planted another church in Dar es Salaam which is growing into the biggest congregation in the country. Bishop Dr. Gwajima is now overseer of more than 400 churches in Tanzania and abroad. He has authored more than 40 books!​
Naunga mkono hoja.
P
 
SheriaE

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
535
500
Kuzubaa ndio maisha tuliyoyazoea.
Hatuwezi kuishi kwenye uhalisia. Tutaseka na kujenga chuki.
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
8,604
2,000
Ujamaa na Sera za CCM za kutawala watu waliodumaa akili ndio chanzo cha yote..

Watawala wamezoea kutawala watu waliodumaa akili, lazima waendeleze udumavu ili watawale kirahisi...

Hatari inakuja mbele pale watawaliwa wanapokuwa na akili kuliko watawala, watawala inawabidi watumie mabavu waendelee kutawala na matokeo yake wanashindani maslahi wenyewe kwa wenyewe na kuanza kuparuana kwa kuanzisha vikundi vya uasi...Watawala wa Tanzania wasipotuliza akili na kuwaza kisasa miaka mingi mbele nchi inaweza kuwa haitawaliki kifupi itakuwa DRC nyingine..
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
29,906
2,000
Nireteeni Gwajima, nireteeni Gwajimaaa, nireteeni Gwajimaaaaaaa! Kufumba na kufumbua mfufuaji mkuu Bishop, Dr. Josephat Gwajima akawa mbunge wa jimbo la Kawe, Dar es Salaam.
View attachment 1782559

Siku Mdhamini Mkuu aliposalimu amri kwa corona na kusepa, mfufuaji mkuu aliingia mitini na hivyo miaka mitano zaidi aliyoomba ikawa ndoto! Hii nchi kwa hakika ina vituko!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom