comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,222
- 5,946
Jana Mei 15, 2021 ilikuwa siku ya familia duniani. Familia ndiyo taasisi ya kwanza ambayo sote tumepita na wenye bahati tumeitengeneza au tutaitengeneza. Sasa hivi taasisi ya familia inapitia changamoto kubwa sana kuliko taasisi yoyote.
Nimejaribu kupitia mabadiko yetu jana nasikitika kusema kuwa wote hatukwenda huko. Sasa U great thinker wetu uko wapi?
Kwenye maadhimisho ya kitaifa hata waziri mwenye dhamana na mambo haya hakwenda alimtuma mwakilishi- FAMILIA tunaipuuza kiasi hiki?