Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mazingira wanayosema wanafunzi wa Tanzania yanatofautiana sana. Wapo wanaosoma shule za huduma zote na wale ambao hata dawati la kukaa bado ni tatizo. Wapo wanaokwenda shule na kidumu, ufagio...
23 Reactions
112 Replies
8K Views
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya nne na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa huwezi kuandika Historia ya SADC bila kutaja mchango...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri Ndugulile amesema wizara yake inaweza kuhakiki upya usajili wa namba za simu kwa alama za vidole ili kuwabaini wanaozimiliki isivyo halali. Ndugulile amesema mitambo ya kubaini hayo...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Katibu wa itikadi na Uenezi CCM amewaomba radhi watanzania wote kutokana na tatizo la ununuzi wa umeme kwa njia za kielektroniki lililo jitokeza nchini kote kwa siku tatu mfululizo, Baada ya...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi. Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Huyu mtu unajiuliza anakosekanaje Bungeni? Anakosekanaje kwenye uongozi wa nchi hii? Kweli huyu niwakwenda kuishi ukimbizini? Kutuambia ukweli ndo kigezo chakutisha atoroke nchi? Na tunaamini...
61 Reactions
79 Replies
9K Views
Nimesikiliza clip ya Mchungaji Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima akijaribu kuhalalisha kifo cha makamu wa pili wa rais wa Zanzibar kuwa ameshafika miaka 70 hivyo hata akifa ni sawa kwa sababu...
8 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu na kwa kadri ya umri nilionao , RPC Kyando wa Songwe ndiye kiongozi wa Polisi katili zaidi kwa waliopo sasa nchini Tanzania , huyu si wa kuonekana sana kwenye vyombo...
7 Reactions
50 Replies
7K Views
Mheshimiwa Rais. Awali ya yote nakutakia Amani ya Mwenyezi Mungu BWANA wa Majeshi na Nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa...
38 Reactions
87 Replies
7K Views
Sio siri mashekhe wa uamsho wamekamatwa kwa tuhuma za kuuping Muungano wa Tanzania kuwa sio wa haki na unafaa kuangaliwa au kuvunjwa ni tuhuma zilizowapelekea kusota mahabusu au jela za Tanganyika...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango Kutokea hapa “S/M Simbawanga,” nawasalimu watu wa huko Dar es Salaam kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nikiwa natarajia kuwa kazi inaendelea! Huku...
9 Reactions
25 Replies
4K Views
Viongozi hususani wa kisiasa wamekuwa wakiitwa au wakiitana waheshimiwa sijui sisi wengine tunaonekanaje hata yani! Utakuta mtu ambae ni mbunge waziri diwani mkuu wa wilaya/mkoa mkurugenzi nk...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Awali ya yote, napenda kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii ya leo na pia sitakuwa mtenda haki bila kuwashukuru waanzilishi wa forum hii. Baada ya kusema hayo machache...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Tulibahatika kumpata Mwalimu Nyerere. Alikuwa ni Rais mwenye maono. Alifahamu kunahitajika nini ili nchi yetu isonge mbele. Tukumbuke aliipokea nchi ikiwa na wasomi wachache, teknolojia duni...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Watu hawa wameandaa au kuandaliwa mjadala wenye maudhui ya usaliti kwa Hayati Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli. Nimewashangaa wataalamu hawa wa tiba ambao hawana weledi wala uzoefu wa maswala ya...
26 Reactions
90 Replies
11K Views
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali. Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini? Spika...
6 Reactions
109 Replies
6K Views
Mambo vp jamiiforums Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo...
6 Reactions
104 Replies
13K Views
Full article here Was Tanzania vindicated on Covid testing claims? Was Tanzania vindicated on Covid testing claims? Tuesday, 20 April 2021 11:24 Written by Sonia Elijah...
9 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo. Khatibu aliwahi...
10 Reactions
106 Replies
13K Views
Back
Top Bottom