Mambo vp jamiiforums
Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo...
Full article here
Was Tanzania vindicated on Covid testing claims?
Was Tanzania vindicated on Covid testing claims?
Tuesday, 20 April 2021 11:24
Written by Sonia Elijah...
Mbunge wa Jimbo la Konde Ndugu, Khatib Haji wa Chama cha ACT Wazalendo, amefariki Dunia. Umauti umemfika katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili akipatiwa matibabu Alfajiri ya leo.
Khatibu aliwahi...
Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya.
Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa...
Waziri wa Uwekezaji Mhe.Geofrey Mwambe ametoa siku 14 wawekezaji nchini ambao shughuli zao za uwekezaji zimesimama au zimekwazwa kutokana na maamuzi ya taasisi za Serikali kuandika barua na...
Mh. Rais Samia Hassan Suluhu,
Ni ukweli usiopingika kuwa watendaji wengi wa Serikalini wananyanyasika sana sana. Mwanasiasa kama Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na hata baadhi ya watendaji wa ngazi...
CHONDECHONDE VIONGOZI WA SERIKALI YA CCM, MUWE NA MAELEWANO.
Natumaini wanaJF mko wazima kabisa.
Leo baada ya wengi wenu kunipigia simu na kunisihi niseme neno kuhusu haya mambo ya viongozi wa...
Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii.
Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu...
Mabibi na mabwana ni ukweli usiofichika kuwa wengi wa walio wazalendo, wanayo furaha kubwa kumpata mama Samia kama Rais wetu wa JMT kwa sasa.
Katika kumtia shime mama yetu kazi inapoendelea si...
Nisaidie kwahili,
Nimekuwa nikijiuliza Sana, ni vyombo vingapi humu nchini vinalojukumu la kuisimamia serikali?
Kwa ufahamu wangu, ni bunge la Jamhuri ndilo lenye wajibu huo, lakini ni miaka...
Naomba radhi picha hazitakuwa nzuri kwa jamii lakini kuthibitisha jambo lenyewe ni lazima kuweka hizo picha.
Unyama wa namna hii inawezekanaje ukatokea Tanzania?
Nimepewa taarifa kijana huyu...
Habari ya asubuhi ndugu wanajamvi, natumaini bila shaka mu wazima wa afya na mmeianza vema siku ya leo. Kwa ambao ni wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu Muumba wa awajalie nafuu ya haraka ili...
Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili.
Kwa haya...
Nikiwa katika moja ya Airport zetu nikisubiri kupanda ndege ya Qatar kwenda Uarabuni, nilikutana na kundi la Watalii kama 9 waliokuwa wanarudi kwao Marekani wakiwa na malalamiko mazito sana.
Hawa...
Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima.
Hili Jengo...
Wandugu, huyu jamaa sijui kapatwa na nini. Ni uzee au ni kuchoka tu kifedha, kisiasa na kijamii ?
Amevaa kombati ya CHADEMA imemvaa sana. Nguo zimempwaya sana.
Jamaa huwa anajishughulisha na...
Kazi ya Mamlaka ya eGovernment kilichopo Ofisi ya Rais ilikuwa kutengeneza standards na regulations za kuhakikisha institutions za serikali zinaweka mifumo Yao ya IT vizuri.
Kazi ya pili ilikuwa...
Mabibi na mabwana inatia moyo sana tunapokuwa na serikali sikivu kama za awamu hii. Madhali haya mambo ni hiari ya mtu, kwanini tupangiane?
Wewe hutaki chanjo? Si ubakie bila kuchanjwa? Kwani...
DKT. NDUGULILE ATEMBELEA MAONESHO YA MAKISATU.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametembelea mabanda ya wabunifu mbalimbali kwenye Mashindano ya Kitaifa ya...
Na Faraja Mpina- WMTH, Zanzibar
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amefanya ziara ya kutembelea vituo vya TEHAMA Kisiwani Pemba vilivyopo Wete, machomane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.