Nimemsikiliza Deodatus Balile leo StarTv tuzungumze magazeti, Mmmh! ameniacha hoi! Haoni tatizo lolote na awamu ya tano! Kila kitu ni shwari na salama. ANASIFIA KILA KITU, Amebadilika, kweli woga...
Ndugu zangu mimi ni miongoni mwa watanzania wengi tulioumizwa katika awamu ya tano.
Biashara zangu ziliminywa mwanza, arusha, na Dar es salaam.
Maofisa wa TRA na TAKUKURU walinyanganya leseni ya...
Kuna matangazo mbashara kupitia TBC1.
Ni uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji na usafi wa mazingira kwa mwaka 2019/2020.
Ni tukio zuri. Watendaji wote wa RUWASA kutoka nchi nzima...
Katibu Mkuu wa CCM na sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi siku ya leo 22/05/2021 wanapokelewa katika jiji la Dar Es Salaam.
Kazi Inaendelea, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa...
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
MHE. GODBLESS J. LEMA: Mheshimiwa Mwenyekiti, nakushukuru. Naomba kabisa nianze bila kusahau na suala...
Aliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
MAENDELEO YANAENDANA NA MAHITAJI,MAHITAJI HAYO NDIYO YANAFANYA WAZUNGU NA WACHINA WAJE AFRIKA.
Leo 19:30hrs 21/05/2021
Tangu 1st hadi sasa 4th industrial revolution, maendeleo ya ubunifu wa...
Dr Nyambura Moremi is a distinguished scientist and researcher with over 10,000 reads and over 200 citations on ResearchGate and listed on Google Scholar
Nchi na serikali ithamini wanasayansi na...
Tangu juzi mitandao na magazeti yamefurika taarifa kwamba TAKUKURU wamefuta kesi 147 walizobambikizia watu.
Watanzania wote tumekuwa kama vipofu bila kuchambua sheria ya TAKUKURU inasemaje kuhusu...
Ndugu zangu,
Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.
Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha...
Ni Jambo la kawaida Sana kuwa kiongozi hujaribu kuwaweka karibu watu anaowamini Sana na akitegemea matokeo chanya Toka kwao.
Mh.Rais kumbuka kuwa asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa ni vijana...
CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini?
CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika...
Mbunge Stanslaus Nyongo amesema licha ya zao la Pamba kulimwa katika mikoa kadhaa Nchini ikiwemo Simiyu na Shinyanga, Uzalishaji wake umekuwa na kelele kwasababu ya kukosa soko la kudumu
Akiwa...
Mabibi na mabwana, mama Samia kadhamiria kwa dhati kabisa kutuvusha salama kama taifa.
Hii ni katika masuala yote msingi yakiwamo ya afya zetu na pia katika ujenzi wa taifa.
Kuhusiana na afya...
Dear JF members , ni wakati sasa mh Rais aamuru uchunguzi huru ufanyike dhidi ya waliotaka kumuua Tundu Lissu. Kwa kufanya hivyo serikali hii itajitanabaisha kuwa ni ya kutenda haki ... nawasilisha
Ni mara mbili sasa toka asimame jukwaani kuhutubia tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Danie G. Chongolo pamoja na Ndugu Shaka Hamdu Shaka wameonekana kupokewa vema...
Na Mwandishi wetu,
MOROGORO.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo, leo tarehe 22 Mei 2021 ametembelea na kusalimia Wahariri wa Vyombo vya Habari ambao wamekutana Morogoro kwa...
Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Dkt.John Pima ameingia kwenye msuguano mkali na wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha ,huku wafanyabiasha hao wakitishia kukinyima kura chama cha Mapinduzi oktoba...
Ni kawaida nchini kwa kila kiongozi mpya anapoingia madarakani, kuwepo kwa genge la wanufaika wa uongozi uliopita kulinda na kusukuma maslai yao. Mwinyi – kama alivyoandika kwenye kitabu chake –...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.