Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,201
- 4,673
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya nne na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa huwezi kuandika Historia ya SADC bila kutaja mchango wa Tanzania
Dkt. Kikwete ameyasema hayo wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 40 ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Africa SADC linalofanyika katika Ukumbi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Leo tarehe 21 May, 2021.