Na Mwandishi wetu,
MOROGORO.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo, leo tarehe 22 Mei 2021 ametembelea na kusalimia Wahariri wa Vyombo vya Habari ambao wamekutana Morogoro kwa...
Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Dkt.John Pima ameingia kwenye msuguano mkali na wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha ,huku wafanyabiasha hao wakitishia kukinyima kura chama cha Mapinduzi oktoba...
Ni kawaida nchini kwa kila kiongozi mpya anapoingia madarakani, kuwepo kwa genge la wanufaika wa uongozi uliopita kulinda na kusukuma maslai yao. Mwinyi – kama alivyoandika kwenye kitabu chake –...
Maza alienda Uganda akatuaga uwanjani bila barakoa, alipofika kule alivaa coz ni sheria za UG kutokana na kupigwa kiasi na CORONA.
Alirudi bila BARAKOA maisha yakaendelea. Then akaenda Kenya Kwa...
Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
UZOEFU WA ACT WAZALENDO KATIKA KUSHIRIKI CHAGUZI ZA MARUDIO ZA 16 MEI 2021
Chama cha ACT Wazalendo kilishiriki katika chaguzi ndogo za marudio katika Majimbo ya...
Alikuwepo Dk.Slaa huyu alikuwa na source of info za uhakika na zilikuwa zikimpa pasi mpenyezo lazima aibue madudu ya kifisadi ya uhakika.
Ndio maana alikuwa anaishi maisha ya mashaka muda wote...
Na Mwandishi Wetu,
Morogoro.
Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo aongoza Viongozi wa Sekretarieti ya H/Kuu ya Taifa kuhani msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Mkoa wa...
Mapendekezo ya ACT Wazalendo Kwa Rais Samia Suluh Hassan ili kuzifanya chaguzi kuwa za ushindani, huru na zenye uwanja sawa kwa vyama vyote vinavyoshiriki, tunaleta kwako mapendekezo yafuatayo...
Katibu mkuu wa CCM ndugu Chongollo amesema CCM haitajiingiza katika siasa za kibabe na visasi bali itajikita kwenye siasa zake za asili zilizosheheni Upendo na Urafiki.
Huu ni mwanzo mzuri sana...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora...
Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani!
Zaidi soma: RC Makalla amaliza mgogoro wa...
Mbunge wa Nyasa Stella Manyanya amemuomba Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taif mh Kuandikwa kuwafikiria walemavu ili nao watumike jeshini katika maeneo ya kutumia akili kama Tehama
Manyanya...
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe...
Katika kipindi cha awamu ya tano kilichojibatiza na kujiita serikali ya "mwendazake" ampapo mzee wa Lupaso RIP Ben Mkapa alilikemea hilo bila kificho.
1. TRA waligeuka kuwa genge fulani la...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Meja Jenerali John Julius Mbungo, leo Ijumaa Mei 21, 2021 amekabidhi rasmi ofisi kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa...
Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam.
Ilani inasema upembuzi...
Kama kawaida kabla hatujaanza chochote, tutumie sekunde chache kumshukuru Mwenye enzi Mungu kwa kutupa kibali tena. Pia nikushukuru ndugu msomaji unaeambatana nami katika makala yangu hii na...
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote
hizi hela...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma.
=====
KATIBU MKUU CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.