Wanabodi nawasalimu.
Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi...
Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19.
Kwa hali Hii serikali...
Wanabodi salaam
Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi...
Mapema leo 24/05/2021, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amezitaka kamati kufatilia mchakato wa ajira za walimu zilizotangazwa kwa uwazi na ukweli.
Pia ameonyesha...
HAPA KAZI TU IENDELEE.
Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM.
Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia...
Sasa hali si hali kambi ya mgombea Urais - CCM Mzee Pombe Magufuli.
Chato Airport ya kijijini na shambani kwake inamtesa yeye, inawatesa CCM wote maana haina utetezi wenye macho na akili watu...
Mimi si mjeda. Sijui mengi kuhusu ujeda. Sijui mengi kuhusu mengi.
Ni mbeba maboksi tu. Wengine husema nimeishia darasa la saba. Wengine hudai nimeishia kidato cha nne.
Hivyo, sina mengi...
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.
Unaletewa barua ofisini kwako...
Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaani kimikoa, na hata Kidini.
Ametahadharisha endapo...
Awamu iliyopita ilikuwa ngumu kiutawala na ilihitaji ujasiri kusimama na kubaki kwenye nafasi ya juu ya uteuzi. Dr. Anna Makakala Ni mmoja wa wanawake waliovumilia nakupambana kwa miaka mitano ya...
Si hoja ya kikatiba Wala ya kisheria ni hoja ya fikra juu ya utekelezaji wa Yale ambayo hayajaandikwa na si kwamba yalisaulika kuandikwa bali ni magumu kuyaweka kwenye makaratasi.
Hakuna sehemu...
Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka.
Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa...
Habari wakuu
Mimi binafsi kuna vitu nashindwa kuelewa kwenye nchi yetu ya demokrasia, wanasema wananchi ndio serikal
Lakini bila kupindisha maneno, sijajua labda sisi watanzania ndivo tulivo...
Habar wadau,
Now niko Rwanda waungwana huyu Kagame Baada ya Miaka 20 kama Atakuepo hakuna nchi itakayomfikia. Tanzania na ukubwa wetu mpaka Sasa si kitu kwa Rwanda, Kigali ipo kama Ulaya vile...
Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali.
Na itawezekana...
Ukikubali cheo cha bure lazima ukubali na masharti ya mtoa cheo , Mtaka cha uvunguni sharti ainame
Ifahamike kwamba hapa duniani hakuna kitu cha bure , nipe nikupe , haiwezekani Magonjwa...
Natumaini mko salama wakuu.
Ubuyu si neno jipya kwa,sasa ni neno linalotumika kugusia au,kudokeza suala ambalo linazunguzwa na watu lakini linaweza lisiwe proved publically au kutangazwa.
Ubuyu...
Tangu Serikali ya awamu ya Sita ianze rasmi kufanya kazi upepo wa siasa umebadilika kabisa na kuwa siasa za kistaarabu na za kushindana hoja kwa hoja.
Rais mstaafu Mh. Dkt. Jakaya Kikwete...
Enzi za Magufuli kazi zilikuwa nyingi watu wakajenga Sana ila tokea mama Samia suluhu awe Rais Basi Kasi ya ujenzi imeshuka sana.
Mtu anaona kuliko milioni tano yake aipeleke kwenye mambo ya...
Dk. Ayub Chacha Rioba, Mkrugenzi Mtendaji wa TBC
Kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Tanzania, swali hapo juu linatokana na bonde la ufa lililopo kati ya yale ninayoyaona, na yale ninayoyatarajia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.