Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani...
Kumekuwa na upendeleo wa dhahiri katika ajira za ualimu kwa siku za hivi karibuni. Utakuta imetangazwa ajira ya waalimu wa hesabu na fizikia lakini majina yakitoka unakuta wa Biology wamo...
Katika Mtu ambaye GENTAMYCINE nimepanga nisiwe namsema ( namsiliba ) hapa JamiiForums kutokana na kuwa ni Mdau wangu mkubwa wa Miziki ya Congo DR ( Misebene ), Mwana Simba SC Mwenzangu na Mtoto wa...
Wadau wa JF
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Amos Makalla ameanza kazi kwa kishindo kwa kutuma salaam kwa Majambazi
Mkuu huyo wa...
Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko...
Na Mwandishi Wetu,
Dodoma.
Serikali imesema bado inaendelea kutathmini maombi ya kusamehe kodi kutoka kwa taasisi za dini ili kubaini hatua zinazoweza kuchukuliwa bila kuathiri matakwa ya sheria...
Wanabodi,
Wakati wa lile sekeseke ya Kiwanda cha Dangote kusitisha uzalishaji sementi kufuatia gharama kubwa za uzalishaji, kuna watu tulishauri humu, kama Tancoal wameshindwa kuzalisha makaa ya...
Nina matarajio makubwa sana. Ndugu yangu Afisa kipenyo kanitonya jina langu lipo kote kote - kwenye UDC au kwenye UDED.
Mwezi huu huu tunatolewa kwenye Press Release ya Msigwa - Ikiniangukia UDED...
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai za kwake pekee hazitotosha.
Chalamila ametoa ombi hilo leo Jumatatu...
Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.
Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini...
Nawakumbusha tu kuwa Ushindi ni magoli yawe ya kichwa au kisigino yote hufungwa kwa ustadi mkubwa na mafundi wa kufunga yaani Top Scorer!
Nawakumbusha kuwa ushindi katika mechi ni mpango wa...
Ukisikia Bunge halina mvuto ni Bunge hili lililosheni wabunge wengi wa CCM, wabunge wa upinzani kiduchu Sana, wabunge hewa kama wanavyojulikana covid-19.
Mvuto umekosekana hata kama Bunge ni live...
Wengi tulilia Bunge liwe live tukidhani tunahitaji Bunge bila wabunge walio live.
Leo tuna Bunge bila wabunge, tuna Bunge live bila wabunge live Jambo linalopelekea bunge la bajeti kukosa mvuto...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba na kumuahidi...
Aisee Tangu Kuingia Kwa Rais Wa Awamu Ya Sita Upinzani wamekua wakitumia Strategy kali sana ili kujiimarisha zaidi huku wakichukuliwa kama wanataka kukubaliana na hali vile.
Viongozi wa CCM...
Public servants wanalia kila kona. Na ni kweli waliumizwa kwa sababu ya roho ya yule mzee kuamini kila mtu ni mwizi. Samia is good katika hili. I can read her well. You guys will be promoted...
Huu ni ushauri wa bure.
TAMISEMI shughulikieni matatizo ya msingi sio kujipa makazi mengi msiyoweza kuyamaliza.
Toeni vibali Halmashauri ziajiri waalimu na watumishi wa afya kisha taarifa zao...
Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amepotosha umma mchana kweupe kudai ajira za ualimu zilizopita zilitolewa kwa misingi ya kikanda na ukabila kwa sababu...
Hii ni mbiu ya mgambo kwa upande wa Upinzani, msilegeze kamba katika kuhakikisha madai ya tume huru na iliyobora inapatikana sambamba na Katiba mpya, hayo ya CCM ya kutumbuana kuhamishana...
Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo.
Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio.
Wanalazimisha kushawishi mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.