Leo 24/05/2021 nimesikiliza Swali la Pascal Mayalla aliloliuliza IKULU mwaka 2016 kuhusu Mihimili 3 ya serikali kwenye dhana ya separation of Powers; ' ulitoa maagizo kwa mihimili mingine kwa...
RC Amos Makalla amewakutanisha Meya wa manispaa ya Kinondoni Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wake Sipora Liana. Vyombo vya habari vikaripoti kuwa mgogoro umeisha 🤣.
Je, nini kiini cha mgogoro huo...
Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu...
Ama hakika Wewe ndiye Jembe la ukweli na ndiyo maana umeweza Kukaa Gerezani kwa miezi hiyo Minne na bado umetoka huko ukiwa imara zaidi huku ukiwa hata wasiwasi wa Kuondokewa na Mtu ambaye ulikuwa...
Habari za leo ndugu zangu,
Uzi wangu leo utakua mfupi sana.
Ni ushauri tu sifa za kugombea ubunge zibadirishwe walau mgombea awe na Shahada.
Na wanaogombea udiwani walau wawe na diploma...
Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir.
Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe...
Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu zangu mheshimiwa Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliunda tume ya Corona.
Taarifa ya tume imepokelewa Jana na wengi...
CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi.
1) Rais alishinda Uchaguzi 2020 kwa 84.4% haijawahi kutokea.
2) Wabunge na madiwani wote walishida Uchaguzi 2020 isipokuwa...
Hatimaye sasa Tanzania imeamua kuungana na walimwengu ktk mapambano na Corona.
Hii ni habari njema sana kwa mamilioni ya watanzania ambao wanajali afya zao na wapendwa wao.
Pia ni pigo kwa wale...
Upande mwingine linaonekana ni jambo jema limefanyika kuweza kufutia raia wema wengi waliokuwa wakikabiliwa na kesi 147 za kubumba na kuteseka pasipo sababu.
Lakini pia ni aibu kubwa kwa upande...
Asubuhi hii niko Idodomya. Nilitumwa na daktari wa Hospitali ya rufaa Mbeya kuja kufanya MRI. Alinipa chaguo la kufika Dodoma au Dar es Salaam. Idodomya ni jirani sana kwangu. Ni mwendo wa masaa...
Mkoa wa Mara ndio mkoa aliozaliwa muasisi wa Taifa hili MWL. Julius Kambarage Nyerere mnamo mwaka 1922 katika wilaya ya Butiama.
Ila kimaendeleo upo nyuma katika Kanda ya Ziwa yote hauna hadhi na...
Baadhi ya masuala aliyogusia katika Ripoti hiyo ni kama ifuatavyo:
CAG ASHINDWA KUTHIBITISHA MALIPO YA MILIONI 376 KWA MADAKTARI
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Zanzibar, Dkt. Othman...
Hakika muda unakwenda mbio sana na akija mgeni hapa Tanzania akakuta watanzania wanavyo ishi kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita atajiona kama kapotea njia.
Nimepitia CV ya huyu mwamba nikashangaa bado anahitajika ,kwa lipi hasa mtu aliyetakiwa kustafu tangu Januari .
Huyu alishindwa kabisa pale Home Affairs hata Polisi wa cheo cha constable walikuwa...
Natafakari sana haya makampuni ya simu kuigomea serikali kupunguza bei ya vifurushi. Katika awamu ya tano tulijionea, serikali ilikuwa ikiamua jambo lake, watendaji waliwajibika kwa wakat na kwa...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amezitaka Kamati za Bunge hususani zile za Sekta kufanya kazi zinazohusika nazo akisema zisikae tu pasipo kufuatilia mambo.
Ametolea mfano suala la Ajira za...
Uandishi wa uhakika huwezi kuwa rafiki na Mamlaka, Kuna siku moja Trump alikuwa anaishambulia CNN kwa Twitter kuwa badala ya kuitangaza vizuri Marekani na miradi yake ya kiuchumi chombo hicho...
Muundo wa Halmashauri zetu zina idara 12 na vitengo 6. Hivyo kufanya jumla ya wakuu wa idara na vitengo kuwa 18 . Kabla ya kuondoka watalaam wa Maji kwenda RUWASA Halmashauri ilikuwa na wakuu wa...
Na Thompson Mpanji,Mbeya.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19.
Mwandishi wa Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.